-->

UNAIJUWA TABIA YA MOYO WENYE UPENDO WA KWELI?

Image may contain: 2 people, people sitting

Moyo wenye upendo wa kweli ni mwoga, Ni wenye huruma, una tabia ya kusamehe muda wote, Ni wenye matumaini, Ni wenye subira, Unajuwa kubeba maumivu, una tabia ya kutojiamini, Moyo huo wenye upendo wa kweli UNAJUWA KUHIFADHI SIRI... Yote hayo yanapatikana kwa MOYO WENYE UPENDO WA DHATI! Ukimpenda mtu na ukaamini kutokana na wingi wa hisia zako kwake SHIKAMANA maana ukishindwa kuthamini UPENDO wake atakuhesabia makosa, Moyo wenye UPENDO WA DHATI una Mapenzi mengi, Kadiri unavyoumia MOYO wa mtu mwenye UPENDO WA DHATI ndivyo unavyo tengeneza namna ya kujikomboa, Na MOYO WENYE UPENDO WA DHATI kila unavyo ogopa ndivyo unavyo jipambanua, Usimuumize mtu akupendaye kwa dhati maana atakuumiza hutaamini, Kutojiamini kwa mtu mwenye UPENDO WA DHATI ni ujasili wake pale atakapo baini humpendi ila unadanganya kwa pendo la sanaa, Uongo wowote unaweza kudumu ikiwa muongo ataulinda uongo wake, lakini hata mjuaji wa kiwango gani KAMWE UONGO HAUISHI na hapo ndipo UONGO HUWA WAZI na wala isiwe siri tena, Tengeneza UAMINIFU WA KUDUMU kwa mwenza wako ili aweze kukupa PENDO LAKE LOTE.
#Elista_kasema_ila_sio_sheria
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU