-->

NJAMA YA MTU MUONGO NI KUDHOOFISHA NGUVU YA MWENZA WAKE!

Image may contain: one or more people, people sitting and indoor
Kutofautisha uhusiano wa kweli na wa uongo... Uhusiano wa uongo ni upi?
Ni matokeo ambayo umeyaamini, matokeo ya mahusiano ya mda mrefu, Wengi wetu tupo kwenye mahusiano ya uongo bila ata kujua na kinacho tufanya tusiuone uongo NI PALE UNAPO AMINISHWA KWAMBA HAKUNA WA KUFANANA NAWE! Kile ambacho unacho kwenye mahusiano yako hicho ndicho kilicho na hakika yako moyoni haijarishi maumivu na mateso upitiayo, uhusiano wa kweli unachukua juhudi kubwa na hilo linatokana na vile ambavyo umempa mwenza wako "VALUE" ambayo kwa hakika hukuwahi kumpa mtu mwingine, na hapo ndipo UDHAIFU hutajwa na kuleta kutojiamini tena, hakuna mashaka hapo ila siku zote yako bora kwenye mwendelezo ambao mwenza wako amekujengea UONGO USIO NA MWISHO... Kuna utofauti mkubwa kwa mtu kusema vile vitu vizuri vya mahaba kwako na mtu ambae anamaanisha vitu hivyo Kwani wengi hufurahishwa zaidi na ahadi kuliko kungojea uhalisia, Kuna vitu vingi vinahitajika kugusishwa ili kuwa kwenye mahusiano ya ukweli sababu mmoja anaweza kushawishi kirahisi mwingine na kumdanganya kwamba anampenda lakini isiwe upendo wa MOYO ila ni ule UPENDO WA MAZINGIRA! Watu wengi wanaingia kwenye mahusiano ili kuingia kwenye nguo za ndani za wenzao ili kuijuwa siri iliyoko ndani ya mtu huyo au ni kama kitu cha kupotezea mda na pengine wanakosa MANENO MATAMU KWA WENZA WAO na kuangukia kwa mahawara, Hizi hapa ni bendera nyekundu unazotakiwa kuweka jichoni ili kuzuia kudanganywa;
¤ OGOPA AHADI.
¤ USIOGOPE KUANZA
UPYA.
Hizi ndizo hatari zimewakwamisha wengi kwenye MAHUSIANO... Kuondoka hawezi, Kukaa anaona mateso JE UFANYE NINI?
Hakuna dawa nzuri na yenye kumpa ukombozi MHANGA WA MAPENZI kama KUTHUBUTU! Sasa wewe endelea kuteseka kama vile unangojea MVUA ZA MASIKA kwamba zinyeshe upande Mahindi na Mpunga eti baada ya muda fulani uje kuvuna🙈
#Elista_kasema_ila_Sio_sheria.
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU