-->

NGOJA NIKWAMBIE JAMBO HILI USILOLIJUA KUHUSU MAPENZI

 
Image may contain: one or more people and close-up

Mapenzi mazuri ni kama ndoto nzuri nyakati za usingizi mzito,Mchana kutwa ulishinda na Mtu umpendaye ama uliwasiliana nae kwa MAPENDO... Usiku ulipoingia ulikuwa uki-imagine mambo mengi, Ni kama uko nae pembezoni mwa ubavu wako ama unamngojea atoke bafuni kuoga, Ulipoweka ubavu wako katika kitanda usingizi ulikupitia ukiwa mwingi wa mawazo juu yake, Zilikuja ndoto nzuri na zenye kuleta furaha moyoni mwako, Alikujia na kukubusu huku akiwa ameshika mwili wako! Ukatamani aendelee kuperuzi kila mahala anakoweza kufikisha mkono wako, Ukawa kama uko mahala tulivu hakuna mtu anasikia ama kufuatilia mkifanyacho, Busu lake shavuni huku akiwa mtundu kwa mwili wako mara anakuuliza UKO TAYARI TUISHI PAMOJA? Alichelewa sana kuuliza swali hilo maana shauku yako hasa ni wewe kummiliki ili uziishi zile starehe anazokupa kila siku, Ukaenda mbali sana ukamwambia NITAKUFA UKIFA maana sipo tayari kuishi bila kukuona machoni mwangu, ni bora uugue na kusota kitandani lakini lililokubwa MBONI ZANGU ZIKUONE TU... Kushituka ni ndoto! Inauma sana kumkosa mtu ambaye kwa hakika ni sehemu ya uzima, furaha na amani yako, Usiishi na Mtu umpendaye ukajidanganya japo kwa sekunde moja UNAWEZA KUTOMPENDA... Achana na kucheza na hisia zako mwenyewe, Zitetee hisia zako zikuweke mahala salama, Kwenye Mapenzi tatizo sio kupendwa maana kama hakupendi na wewe unampenda niamini HUO UPENDO WAKO KWAKE atauishi mpaka ifikie mahala nae akulipe upendo sawa na umpendavyo, Wengi wameugua na kukosa furaha kwa sababu moja tu KUIDANGANYA MIOYO YAO KWAMBA POPOTE AWEZA KUIPATA FURAHA NA AMANI ambayo imemjengea kitu cha tofauti tangu ayajue Mapenzi, Usijaribu kutarajia MAPENZI kwani MAPENZI yanafuatwa kwa uhalisia, Ukiweza SIMAMIA IMANI YAKO kuliko kuchanganywa na masikio pamoja na macho yako😎
#Elista_kasema_ila_sio_sheria.
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU