
Ni kwa sababu hata upatikanaji wake ni mwepesi, Hata yanapokwisha ni mepesi kuachana, Watu wanaingia kwenye mapenzi kwa ajili ya kutafuta FARAJA badala ya UPENDO... Wanapokosa FARAJA wanakimbia kuogopa stress, Kukosea njia 👣 kwenye safari ya kawaida ni afadhali unaweza kutembea kurudi ulikotoka, lakini ukikosea NJIA 👣 IENDAYO KWENYE MAPENZI lol 😎 unaweza kufa siku si zako, Ni bora kuishi MPWEKE kuliko kuishi NA MTU MUONGO WA MAPENZI ni hatari mbaya, Muogope mtu anayekujenga kuwa uko peke yako maana anautengeneza MOYO wako kujiamini, Moyo ukijiamini halafu baadaye ukaona dosari ni mbaya kuliko kama ungeingia kwenye MAHUSIANO na mtu ambaye tangu mnakutana ulijua anae mwingine ila unajaribu kumuondoa aliyepo hata ukishindwa haiumi sana.
#Elista_kasema_ila_sio_she