-->

Unafikiri ni kwanini AMEMPENDA MWINGINE NA WEWE UPO?

Image may contain: one or more people, outdoor and text
Naongea na nyinyi wanaume kwa sababu Mwanamke anapokuwa na wewe lakini akatafuta mwingine MNAMWITA MALAYA haipendezi ikiwa tusi hilo umesababisha wewe, ila kama unatimiza PACKAGE YA LOVE KWA MWANAMKE WAKO NA AKAKUSALITI MUONGEZE NA TUSI JINGINE.
Mwanamke kwa uhalisia na tabia yake HUSHIRIKI TENDO LA NDOA NA MWANAUME MMOJA ikitokea akawa na wanaume wawili kwa wakati mmoja ujue KUNA TATIZO LA KI NAFSI kwamba ama alikurupuka kukupa nafasi na wewe sio Mwanaume wa HISIA ZAKE au wewe ndiye ila kutokana na maudhi pamoja na vile hakutarajia uwe ANAKUWA ANAITETEA NAFSI YAKE💏
Kwani ili Mwanamke awe COMFORTABLE ni NAFSI YAKE KUTULIA💑
Wanaume mtambue Mwanamke nae ni bin adam kama mlivyo nyie, Kwamba ambayo hatupendi Mwanamke atutendee basi tuanze kuwa walimu wao, Kwani bila kuumiza MOYO WA MWANAMKE KAMWE HAWEZI KUVUA NGUO👙 YAKE AONWE NA MWANAUME MWINGINE NA WEWE UPO KWA UTARATIBU KAMILI WA UPENDO.
Mapenzi rafiki yake AMANI na ikiwa uko na Mwanamke lakini kutwa amejawa malalamiko juu yako ujue AKIWA PEKE YAKE UNAYO MUUMIZA HUJIRUDIA AKILINI MWAKE mwisho wa yote ni HASARA ROHO Mwanaume mwingine atapatikana mbele ya safari, Na nikukumbushe wazi MPAKA MWANAMKE AKAENDA KUVUA NGUO👙 ZAKE KWA MWANAUME MWINGINE NA WEWE UPO USITEGEMEE KUMTULIZA TENA Kwani aliisha kuhukumu kwenye MAHAKAMA ya NAFSI yake wallah HESABU KIRUMI huna nafasi tena ndani ya NAFSI yake, Na ikitokea akataka kutimiza SHARTI LA NDOA atakupatia KOPO KAVU MAFUTA YALIISHA PAKWA NA WAJUAO KUJIPODOAA😅😅😅
Sikutishi ila NAKUKUMBUSHA;
Mwanamke ni mtu anaeishi kwa HISIA akikosa HISIA ni kama GOGO LILILOINGILIWA WADUDU🐝🐞
Raha ya MWANAMKE awe na HISIA na wewe banaaa Yaani FULL MTEREZOOO🏄 ila kama hana HISIA nawe rafiki yangu HATA KANDE LAINI😎
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU