-->

HATARI KUBWA IPO TAYARI KWAKO BINTI/KIJANA UNAEJICHUA/PU-NYETO.


😭😭😭😭 shalom karibu katika ujumbe huu lipo la kujifunza.
PUNYETO/KUJICHUA ni janga ambalo lipo kwa vijana wengi wa kileo wa kiume kwa wakike, ambao hutumia njia iyo ya kujichua au punyeto kwa lengo la kupunguza hisia za kimapenzi, pasipo kufahamu kuwa wapiga punyeto ni sawasawa na wazinzi au waasherati.
Kitendo ichi kiovu ni kama kilevi ambapo siku unapokianza uwe na uhakika kuacha itakuwa shida kama usipopata msaada wa kiroho kikamilifu, wapo watu wameoa au kuolewa ila bado wanafanya uchafu huo.
Kijana au bint unasema umeokoka ila unaonekana jamii yako au ww mwenyew ufanya uasherati, kumbe ukiwa sirini unafanya uchafu huo, uwe na uhakika utakw7enda jehanamu ya moto kwa kitendo icho.
Uwe na uhakika unajitengenezea madhara makubwa si kiroho hata kimwili, kijana utakapofika kutaka kuoa utashindwa kutimiza haki ya ndoa kwa mkeo, hii itapelekea mpasuko mkubwa katika ndoa yako na hatimaye hata kudharaulika kumbe wewe mwenyewe ndo chanzo cha tatizo.
Binti umezoea kujichua uwe na uhakika siku utaolewa utaona mmeo akutoshi sababu sehemu zako uzazi zimesha zoea vitu vigumu utamuoana mmeo akufikishi unavyotaka matokeo yake utaendelea na uchafu wako pamoja na kuwa mme, sio ilo tu kama ulizoea kutumia vitu vikubwa unafanya maumbile yako kuwa makubwa nk.
Yapo madhara mengi vilevile kupoteza hisia za tendo la ndoa pind utakapo oa au kuolewa, utaona kijichua ni bora kuliko mme au mke.
Kwann uikose mbingu na madhara mengine?? Kumbuka watakao ingia mbinguni ninwatakatifu tu walio jikana mwili na na Roho, #WABRANIA 12:14, neno la Mungu linazidi kutuonya juu ya mwenendo huo. πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
15 bali kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu, ninyi nanyi iweni watakatifu katika mwenendo wenu wote;
1 Petro 1:15
16 kwa maana imeandikwa, Mtakuwa watakatifu kwa kuwa mimi ni mtakatifu.
1 Petro 1:16
Tunapaswa kuenenda katika UTAKATIFU katika mwenendo wetu wote, ili tuweze kumuona Mungu, nje ya hapo ni kutupwa Jehanamu ya moto yenye mateso ya kutisha. Hivyo unapaswa kuacha punyeto..
Swali linakuja nawezaje kuacha nimejaribu nimeshindwa??Jibu ni kwamba lazima umpe Yesu Kristo maisha yako kama ujafanya ivyo, jambo la pili lazima ndani yako uamue kuacha na kuchukia uovu huo, jambo la tatu hakikisha umefuta picha za xxx, au ngono kwenye simu yako, video zote nk, Jambo lingine lazima uwe msomaji wa neno, kuudhuria maombi kanisani kwako, na uwe na maombi ya kufunga na kuomba walau mara mbili kwa wiki.
Jambo lingine hakikisha unakuwa mtu wa mazoezi, kama huna kazi ya kufanya epuka mazingira kukaa peke yako,, vunja uhusiano na marafiki wapenda ngono, jiunge na marafiki wanaompenda Mungu.
Vilevile wakati wa asubuhi hisia za mapenzi zinakuwa juu sana acha kijigeuza geuza, amka mara moja kama unaomba omba, nenda kaoge endelea na ratiba nyingine.
Image may contain: 1 person, standing and outdoor
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU