-->

UGOMVI KWENYE MAHUSIANO HUTOKANA NA UPENDO ULOZUNGUKWA NA WIVU😎

Image may contain: 1 person, close-up
Na ndo maana mtu akiona hamuendi ipasavyo kwenye uhusiano wenu lazima atahoji, Mwanzo wa maswali ndo mwanzo wa migogoro kwa Mtu ambaye HASIMAMII VYEMA UHUSIANO WAKE zaidi ama amegeuka kwa sababu zake au anao mbadala ambao umefifisha upendo wa awali kwa mwenza wake wa awali, Ukiona unaongea sana kutaka kunusuru penzi lako na mwenza wako hahisi kukuelewa JIONGEZE🙋
Kama hajakukinai Basi kakuchoka pengine MKO NA KITU/VITU ndivyo vinampa maswali kichwani mwake ya kwamba ATAVIKOMBOAJE🙉
Maana ikiwa Kuna UPENDO ni ngumu kukosa TENDO LA NDOA na simaanishi AFANYE KUTIMIZA WAJIBU maana yangu zile sarakasi💃 zilizokuvutia ukasema Mke/Mume si Huyu sasa hizo hazipashwi kutoweka, Utafakari vyema UHUSIANO wako na mienendo yake huku ukijikumbusha kwa vile mlivyokutana, Ukiona umelalamika sana mwenza wako awe kama zamani na haijawa ujue KUNA PENZI LA MPITO HUKO NJE na itakuwa huruma yake kurudi ndani, Usaliti Una MIPAKA YAKE lakini mpaka ukajua unasalaitiwa maana yake WEWE NI KAPU👝 LA SOKONI umuhimu wake upo ila hata usipobebwa TUTABEBEA MIFUKO YA RAMBO UPO HAPO😅
Pambana na hali yako sikuwepo mlipokuwa mnaingizana penzini.
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU