Ukikutana na Mwanamke usijidanganye kuwa yuko peke yake! Jiulize jinsi ulivyompenda na kuanza kumfukuzia huku ukimbembeleza ili akupe nafasi Kwani wanaume wengine SCROPION amewatoboa macho hawaoni umebaki wewe tu unae muona? Kila mwanamke anae mwanaume wake sema wanawake wengi wapo katika mahusiano kwa kusema "HANA JINSI YA KUTOKA TAYARI ASHAPENDA HAPO" ukipewa nafasi ya kusikilizwa ujue jamaa anaharibu, sasa ni jukumu lako kupambana uichukue nafasi iwe yako kabisaa ila kama nawe unamfuata na mihemko yako hapo utaharibu pia maana Mwenzio alishaharibu... Kama una mpango wa kubembea tu bora uende ukawatafute wale wanawake ambao hata namba yako hana shida nayo ila ni pesa yako tu ndo inakupa KUBEMBEA.