-->

πŸ’™πŸ’–SIFA ZA MWANAMKE MWEMA ❤πŸ’

Image may contain: 1 person, wedding

1.Mwenye mapenzi ya dhati kwa mumewe. Wakati wa shida na raha huwa naye bega kwa bega πŸ’ž

2. Mwanamke mwema ni yule ambaye hujapenda, kuwaheshimu, kuwajali ndugu wa mume ktk kila hali na pia huwavumilia ktk dosari ndogo ndogo 

3. Mwanamke bora pia ni yule anayezingatia usafi ktk nyanja zote si jikoni,chumbani, sebuleni, na hata usafi wa mwili na nguo hasa kwa familia yake kwa ujumla na yy mwenyewe πŸ’˜

4. Pia mwanamke bora huwa na tabia ya kujishusha hasa pale mumewe akiwa amekasirika kwa kuomba radhi tena kwa kubembeleza 

5.Pia mwanamke bora ni yule ambaye anajiheshimu na kujithamini pindi anapokua ametoka nje ya nyumba yake na hii inaenda sambamba na sitara. πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›

Ewe mwanamke zinduka jitambuee, jielewe kwani pepo ni rahisi sana ukizingatia taratibu zote zilizopo katka quran na hadithi na sunnah na kuyafuata hayo ni rahisi sana kwani cha ukizingatia hapo ni utayari tu ya kuyatekeleza bila ugumu wowote
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU