MWANAMKE
Mke
Dada
Mama
WiFi/shemeji Yako
Ama vyovyote unavyo muita
Mke
Dada
Mama
WiFi/shemeji Yako
Ama vyovyote unavyo muita
Vyema ukamheshimu;iheshimu jinsia ya kike bila kujali mapungufu ya huyo MTU maana hakuna aliye kamilika hata sisi kina Baba tuna madhaifu yetu
MAMA WA KIJIJINi
Mtazame ametoka shamba na mzigo WA kuni kichwan na majembe likiwemo na mume wakes.mvua INA mnyesha anafika nyumban mume anadai chakula tena kwa matusi. Haitoshi mume anadai haki yakee ya ndoa tena kwa nguvu na wakat huo ukute mama ana nyonyesha ana mjamzito
Mume hajali kuwa amechoka au LA.Mama anavumilia ila machozi hayamuishi....... Amekulea mtoto kwa shida lakini Leo hii mafanikio yakee wanafaidi rafiki zako na wapenz wako ama ndugu wengine tu.unagawa mavaz uliyo yachoka na viatu ila kule kijijin mama yako au dada ana tia huruma

Namuona Mama na dada WA mjini ambae anatembeza biashara wakat WA jua Kali na mimba au mtoto mgongoni
Yule pale ana amua kujiuza ili spate pesa kumilipia ada mwanae. Ili aweze lipia kodi NYUMBA.akipata mteja mtoto wake ana mtua chin atoe huduma ...kesho huyu mama ana dharauliwa na mtoto wakee WA kumzaa..

Namuona House girl ktk NYUMBA fulan anafanya kaz nzito ila bila malipo au malipo kidogo.baba MWENYE NYUMBA na vijana wake wanamgeuza uwanja waNgono ..kwa zamu wanamuingilia.Akipata mimba anafukuzwa.mazingira magum analea mtoto mpaka ana kua.
Nakuona dada umesoma na vyeti vizuri ila huna kazi kila unapo ends Boss anataka ngono ndipo upate kazi.yupo uliye kubali kumvulia nguo ila kaz hukupata.
Chuoni nako mkufunz wako alikufelisha ulipo ends kudai marks akakuomba ngono kwanza....POLE
Chuoni nako mkufunz wako alikufelisha ulipo ends kudai marks akakuomba ngono kwanza....POLE
Umepata kaz ktk mazingira magumu lakini Leo hii kaja kijana kwa Sera ya kukuoa amekulazimisha uache kazi maana muatatafuta tenna. Lakin amekufanya mama WA nyumban hatak ufanye kazi wala biashara. Maisha kwako magumu hata pesa ya pedi mpaka umuombe..POLE
Nakuona dada na mama pale uliahidiwa Ndoa au uchumba ukatangaza kwa ndugu na majamaa lakin hatua ya mwisho una gundua ni utapeli hakuna Ndoa ila alitaka tu kukutumia mbaya zaidi umeachiwa mimba na nmagonjwa.POLLE
Nakuona Mama unaitwa SINGLE MOTHER sio kwa kupenda ila baba aliikataa mimba au Ndoa ilivunjika pale uvumilivu ulipo kushinda.Mungu yupo pamoja nawe ndo maana umelea mpaka mtoto kaanza shule...pamoja na yotee IPO SKU atajitokeza MTU atakae ishi na wewe pamoja na mtoto wako. .atamjali kama mwanae WA kumzaa
Pole MWANAMKE unae pitia magumu siku Mungu atafungua milango yako
Kila jambo Mungu ana ruhusu litokee kwako kwa sababu maalumu
Kila jambo Mungu ana ruhusu litokee kwako kwa sababu maalumu
Kila LA heri ktk Siku ya WANAWAKE