-->

TATIZO SIO KUMJUA UNAYE SAFIRI NAE bali tatizo ni Je unaijuwa maana ya safari yenu?

Image may contain: 1 person, standing and outdoor
Safari ya Mapenzi haifananishwi na safari yoyote mtu anaweza kusafiri, Unapokuwa mpweke ni sawa na kutembea peke yako kwenye njia usoijua, Ukisafiri na Mtu pembeni yako hata kama hamfahamiani inaleta Faraja, Safari yoyote ya wawili ina Faraja japo mnaweza kuwa hamsemi lugha moja lakini kitendo cha kujua uko na mtu inatosha sana kuwa usalama... Kila mmoja akisimamia maana ya safari yake lakini akajua uwepo wa mtu mwingine karibu yake ni kuongeza usalama, wawili hao watakuwa kwenye safari ya bila hofu japo MOYO wa mtu chaka lakini kikubwa SIRI ZA MOYO ZINABAKI KUWA NDANI huku mkisafiri pamoja, Asikwambie Mtu KINACHOLETA FURAHA NA AMANI KWENYE SAFARI YA MAPENZI NI USALAMA WA PENZI LENYEWE.
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU