-->

MAPENZI YA KWELI NI KAMA HADITHI AMBAZO ZIPO KATIKA MASIMULIZI AU SINEMA..

Valentine Couple  Girl and her Boyfriend making shape of Heart Stock Photo - 24910761

Hata kama tukiongelea Mapenzi kiasi gani na hata kama ni kiasi gani tukawa na mahusiano ya kujiburudisha, kwenda kwenye chakula cha usiku mahala tulivu tena penye taa zenye mwangaza hafifu MWISHONI UTAHITAJI MTU MMOJA MAISHANI AMBAYE NI MUWAZI NA MKARIMU KWENYE UHUSIANO! Mtu ambaye amejitoa kwako kwa muda na moyo lakini pia anazo juhudi kuimarisha furaha yako, Anatakiwa mtu ambaye akiwa pembezoni mwako mbavu zikigusana JOTO LIPANDE na kukufanya usisimke huyo ndiye, Mtu ambaye hatachagua sehemu ya kukunong'oneza wala hatakaa mbali nawe maana wewe ndiye umpaye tulizo la moyo wake... Mtu ambaye hayumbishwi na nyakati na ambaye atakushika maisha yatakapokuwa magumu, Ukimpata huyo huhitaji MUUJIZA WA MALAIKA KUMJUWA BALI KWA MATENDO YAKE! Namna ya kufurahia MAPENZI ni wewe kuwa huru kwake lakini pia wewe kumpa UHURU aweze kufanya utundu wake NI STAREHE YA AJABU AIPATAYO ALIYE NA MTU AMPENDAYE.
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU