-->

SABABU 6 ZINAZOCHANGIA WANAWAKE KUSHINDWA KUONA SKU ZAO..


tatizo la kukosa hedhi ni jambo ambalo linaweza kumkumba mwanamke yoyote katika maisha yake ilimradi awe tayari alivunja ungo.
Pia tatizo hili limekuwa likiwaletea usumbufu mwingi wa kisaikolojia wanawake wengi waliowahi kukumbwa na tatizo hilo.
Kitaalam tatizo la kukosa hedhi huitwa 'amenorrhea' na visababishi vya tatizo hili ni pamoja na matatizo katika mfumo wa homoni: Matatizo katika mfumo wa homoni yanaweza kuwa chanzo cha tatizo hili.
Zipo hapa chini sababu nyingine ambazo nazo huweza kuchangia mwanamke kutoona mzunguko wake,
Orodha ya mambo 6 yanayochangia mwanamke kutoona siku zake
1. Kufanya mazoezi kupita kiasi
2. Kuwa na uzito mkubwa au uzito mdogo
3. Lishe duni
4. Msongo mkubwa wa mawazo
5. Matumizi holela ya madawa zenye kuathiri mfumo wa homoni
6. Matumizi fulani fulani ya njia za uzazi wa mpango
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU