-->

Mwanamke anaweza kuibomoa nyumba yake na kumuangamiza Mumewe kwa kufanya yafuatayo:

☑️WANAWAKE
Mwanamke anaweza kuibomoa nyumba yake na kumuangamiza Mumewe kwa kufanya yafuatayo:
๐Ÿ‘๐Ÿพ Matumizi makubwa kuliko kipato
๐Ÿ‘๐ŸพKutaka kumiliki kila vazi au mtindo mpya unaoingia mjini
๐Ÿ‘๐Ÿพ Kuwa mbunifu wa matumizi kuliko kuongeza kipato
๐Ÿ‘๐Ÿพ Kupenda maisha ya kuiga/maigizo
๐Ÿ‘๐Ÿพ Kutaka kusikilizwa kila kitu bila hata kupingwa au kukosolewa
๐Ÿ‘๐Ÿพ Kuboresha zaidi uzuri wa mwili kuliko tabia njema
๐Ÿ‘๐ŸพKutojali ndugu wa mume na kujali wa kwake tu eti wao ndio wazaa chema kana kwamba ndugu wa kiume ni wazaa kibaya
๐Ÿ‘๐ŸพKuwa mkali na maneno mengi
๐Ÿ‘๐Ÿพ Kulaumu/kulalamika muda wote
๐Ÿ‘๐Ÿพ Dharau na Kukosa shukrani
๐Ÿ‘๐ŸพKushindwa kutekeleza wajibu wake
๐Ÿ‘๐ŸพKuthamini marafiki kuliko Mumewe.
Mwanamke mwenye tabia hizo hastahili kulaumu mambo yakiharibika. Kama hujaoa jipime kama unaweza kustahimili kufurahia maisha na Mke wa mtindo huo.
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU