-->

JIFUNZE KUSOMA ALAMA za NYAKATI


Usilazimishwe kupendwa ikiwa ushaona Upendo haupo tena
anae kupenda kweli hawez ruhusu uende kirahisi!! Na kama wa kwako ata umfanyie nn bado atakupendaa
..
atakuwa wako daima! kama aujapangiwa yeye ata umfanyie nni awezi kuwa wako and awezi kukupendaa piaa💋
Hivyo unapo achwa kamwe usikumbuke mazur uliyo mfanyia au uliyo muambia maana hayakuwa na maana kwa mda ule kwake...
Subir wakat wako
Utapendwa utafurah
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU