Ninapo itazama jinsia yako nakuona wewe ni Mtu dhaifu kwa kutajwa, lakini kwa uhalisia wewe ni JASILI๐ช sana. Ni kweli hata maandiko yameandikwa;
"UKAMILIFU WAKO UNATOKANA NA MWANAUME"
Je hujui kwamba hata huyo Mwanaume bila Mwanamke hajakamilika? Madaraja na Nafasi kwenye uumbwaji wa BIN ADAM yaani Mwana Mke na Mwana Mume yanatenganishwa kwa jinsia zetu, Lakini UHITAJI NI MMOJA laa kama kuna tatizo la ki afya, Nikiri kwamba UMEBARIKIWA UPENDO lakini je huo u kipofu๐ wala huoni MANYANYASO UNAPITIA KWENYE NDOA YAKO? Yaani umekuwa kiziwi๐ husikii maneno yanayojeruhi MOYO WAKO kwa mtu ambaye alijinasibu kukupenda mpaka kufa? Neno moja nimelitaka kwako PIGANIA PENDO LAKO MPAKA KUFA lakini ikiwa Mwanaume uliye nae anajua wajibu wake kwako, kataa kuwa na Mwanaume ambaye anapokosa pa kupumlia ndo anarudi kwako na akipumua anaondoka na kuendelea na wanawake wengine, Unaivua THAMANI YAKO kwa kumpa mwili wako Mwanaume ambaye HAKUPENDI NA ANAKUUMIZA MOYO WAKO eti anapokosa Mwanamke ndo anajua kwamba nawe UNAYO NYENYERE ili aje APUMUE na akiishamaliza anakuwa kama hakujui, Yaani unakubari wenzio wakiwa kwenye siku zao za MP na wewe haupo ndo unatambulika?
Kataa unyanyasaji ambao upo kwenye uwezo wa akili yako, Usingojee MUUJIZA uje kukukomboa kwenye hilo, Asikudanganye Mtu Kwamba Mwanaume anaweza kuhimili HAMU ZA NGONO Ukiona anajifanya busy kwako KACHOSHWA NA MWANAMKE MWENZIO.