▪Una pesa?
▪Una hakika ya kuwa na Mwanamke yeyote?
▪Una Muonekano HANDSOME BOY?
▪Kwamba wanawake wanakulilia sana?
Kabla ya kumpata MKEO ulimbembeleza, ulimuangukia miguuni akupe nafasi, Uliweza kumfuata popote alipokwambia, Hukujua kama unayo majukumu kwa sababu ulimtaka awe wako, Ukamshawishi na kumpetipeti hatimaye akajiona MALKIA imekuwaje alipoingia kwenye himaya yako?
Duh Wanaume MNAZINGUA😭
Leo mtoto wa watu sio binti tena ni MAMA je unajua kwamba bila wewe kumzalisha pengine angekuwa kwenye SUBRA akimngojea MUNGU NA KARMA ZAKE?
▪Leo hupatikani kwa wakati pindi anapokuwa anakuhitaji.
▪Leo upo busy kwa majukumu yako.
▪Leo hata kumsindikiza hosp mwanao anaumwa huwezi.
▪Leo hamu nae huna ili umpatie haki ya NDOA ni mpaka aombe japo kwa wiki moja, Mbaya zaidi huna muda hata wa kumuandaa ili afurahie tendo la ndoa ukipanda ni kama kuku Yaani ile anajiandaa walau kujua UPO JUU YAKE babu umeshuka😅😅 Ushashika TAULO unakimbilia kuoga🚿 WHY?
Kwanini Wanaume mnashiriki sana misemo ya wahenga;
"MBIO ZA SAKAFUNI HUISHIA UKINGONI"
Mnawafundisha wanawake jinsi ya kutafuta AMANI NA FURAHA ZAO WAKATI WAPO KWENYE NDOA?
Kwamba ukishika simu ya mkeo na kukuta msg Mwanaume MwenZio anabembeleza ndo unashituka?
Babu utakuwa umechelewa sana, Yaani Mpaka Mwanamke kutoa namba yake ya simu kwa Mwanaume MwenZio na wewe upo Basi ujue MOYO WAKE UMEPASUKA💔
Hatuwezi kuyafurahia MAHUSIANO/NDOA kwa sababu zetu tu, Ila tunaweza KUFURAHIA NDOA/MAHUSIANO kwa kutambuwa NAFASI ZETU pamoja na vile ambavyo TULITAKIWA KUWA KWENYE MAENEO HUSIKA.
#Elista_Kasema_ila_Sio_She