-->

JE WEWE NI BABA UNAE WAJIBIKA AMA UNAE SIMAMA KAMA BABA🤱🏻

Image may contain: one or more people and people standing
Kwanza kabisa maana ya BABA ni UPENDO KWA MWANAE wala sio kufananisha damu, Niwapongeze wababa wote wanao tekeleza majukumu yao kama Baba, lakini niwape pole wababa wote wanaokimbia majukumu yao kwani wamejitenga na BARAKA... Kuwa baba wa group ya damu na husumbuki na mtoto wako hiyo inakufanya uwe mbali na mtoto wako lakini pia nisikufiche mwenye dhamana ya KUMFANYA MTOTO AKUTAMBUWE NA KUKUHESHIMU NI MAMA YAKE JE MKO NAE VIZURI? Mwanaume mwenzangu wala nisikufiche WANAWAKE wanapenda Baba ampende na kumjali mwanae, MTOTO anafarijika pindi aonapo anapendwa na Baba yake, Unajua watoto wanaamini UPENDO wa Mama ni wajibu wake, UPENDO wa baba ni DHAMANA... Kwa maana hiyo unapata majibu kwamba "BABA AKIMPENDA MTOTO WAKE ANAJENGA KITU CHENYE NGUVU SANA KWA MTOTO WAKE" Ukiona nataka kukupotosha basi potezea😜 lakini kumbuka hata HAWALA WA MAMA BAADAYE HUGEUKA KUWA MJOMBA MWISHO WA SIKU ATAKUWA BABA🤦🏾‍♂
Ukiona hayo yanakutokea ujue uzembe wako umekuponza, Sasa UPAMBANE NA HALI YAKO💃
#Elista_kasema_ila_Sio_sheria🙇🏻‍♂
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU