-->

KWANINI WANAUME WENYE ELIMU KUBWA PAMOJA NA WANAUME WENYE UCHUMI MKUBWA WANAOA MWANAMKE TEGEMEZI😎

Mwanaume jiulize swali hili;
• KWANINI WANAUME WENYE ELIMU KUBWA PAMOJA NA WANAUME WENYE UCHUMI MKUBWA WANAOA MWANAMKE TEGEMEZI😎
Kwanza kabisa wanaume hao wanakuwa katika ulinzi wa MIOYO yao, lakini pia wanakuwa kwenye uhitaji wa UTII💯
Namna MUNGU alivyomuumba Mwanamke alijua nafasi aliyoiweka kwa Mwanaume hivyo hakuwa na shaka kwamba MWANAMKE ATAKUWA CHINI YA MUMEWE maana imeandikwa kila Mke na amtii Mumewe.
Ni DUNIA tu na mabadiliko ya tabia za ki bin adam ila kwa uhalisia MWANAUME ANAWAJIBIKA KUHAKIKISHA MWANAMKE WAKE ANATIMIZA MAHITAJI YOOOTE CHINI YAKE💪
Ukikuta Mwanaume msomi na PhD yake halafu anazidiwa pesa na Mkewe ujue hata Elimu yake ilitokana na mkewe 😂
Mwanaume ni kichwa cha NYUMBA🏚 ikiwa atasimama kwenye nafasi yake, na itakuwa rahisi kwa Mwanamke kumtii Mume wake kwani ndivyo MUNGU ameagiza, Uonapo Mwanamke hana utii kwa Mumewe kwa 75% Mwanaume hajajua nafasi yake lakini 25% ni hali za kidunia pamoja na madhaifu ya ki bin adam 😂😂
Ndo maana WASOMI HAWAOANI kwa kugombea nafasi ya utawala katika familia, vivyo hivyo hata MATAJIRI HAWAOANI maana kila mmoja anataka mamlaka kwa mwenzie😎
Mwisho kabisa;
• NI LAZIMA MWANAUME KUITAFUTA HESHIMA YAKO IWE KWA NGUVU AMA AKILI LAKINI USIKUBARI UWE TEGEMEZI KWA MWANAMKE lakini pia MAPENZI YA KWELI NI BURE WALA HAYANA GHARAMA MAANA NI MAPOKEO YA NAFSI💯
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU