-->

JAMBO LINGINE LINALOUA MAHUSIANO NA NDOA NYINGI ZA SIKU HIZI NI HILI,

Image may contain: 2 people, people sitting and beard

KUITANGULIZA STAREHE YA KITANDANI KULIKO MAANA HALISI YA UPENDO HILO NDILO LIMEANGAMIZA NDOA NYINGI:

Mapenzi ni matamu sana ukimpata mtu ajuae na KUTHAMINI UTU WAKO.
Lakini kama akija kwako mtu ili kutafuta UTULIZAJI WA HAMU ZAKE na Moyoni hajakuweka INAUMA SANA.
Zamani ndoa zilidumu na kuwa na mshikamano kwa sababu MTU ALIINGIWA WAZO LA KUWA NA MWENZA WA MAISHA kuliko watu wa sasa wengi wanawazia zaidi STAREHE YA MWILI kuliko hata UPENDO ambao Mtu anatakiwa kumpa Mwenza wake.
Kwamba ukimtoa hamu anakuwa RELAXED kufanya kazi na mambo yake ambayo hayo ndiyo yaliyoko kwenye VIPAUMBELE VYAKE niamini huwezi kubaki salama, Kwa sababu huwezi kumpa penzi alitakalo kila siku Kuna wakati usipofanya kama alivyozoea maana yake taratibu atajipanga kuwa na mwingine, Mtu anaejua kwa sasa humpi radha kama mwanzo ni rahisi sana kukuacha na kuambatana na Mwingine, Na huyo hakuwahi KUKUPENDA bali alikuwepo kwako kwa TASWIRA YA STAREHE na sasa ameona hakipati ambacho kilimvuta kwako kumbe ANGOJE NINI?
Wengi mnakosea kwenye Mwanzo wa makutano, Mwanamke unamtamanisha Mwanaume kiasi kwamba anataka umpe siku hiyo hiyo, Usiniulize UMPE NINI jiongeze banaaaa😅😅😅
Mwanaume nae sound zake zinamlegeza Mwanamke hata akatamani hata ukamkandamize siku hiyo hiyo, Kumbe unafikiri hapo Kuna NDOA TENA? Hapo mtakomea kwenye MAHITAJI YA MWILI mkivuka sana mkaingia kwenye NDOA Basi Kuna mmoja KING'ANG'ANIZI💪
Wahanga wa eneo hili ni WANAWAKE😭😭😭
Wanawake wanalia sana, Na Kuna kosa wanawake mnapaswa kuambiana ili muepuke NDOA ZENYE MAUMIVU;
 Kemea kumuomba MWANAUME AKUOE.
 kemea kumuomba MWANAUME AKUPE MIMBA.
Hayo sio majukumu yako wewe bali ni ridhaa yako Mama c'mon KWANINI MNAINGILIA MAMBO YASOWAHUSU?
Umemuomba Mwanaume akuoe na hakupendi nani anagharamia NDOA HIYO KAMA SIO WEWE? Unamuomba Mwanaume akuzalishe nani ATATUNZA MTOTO?
Si afadhali STAREHE ishike kasi na UTAMU KUKOLEA ukajikuta umenasa mimba bila kujua kuliko kuzaa na Mtu kwa kutaka wewe IMEKULA KWAKO MAMA💃💃💃
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria🔨
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU