Imekuwa ni kawaida kwa jamii ya kitanzania kumuona mwanamke aliye zaa kama hana hadhi kuolewa.
Ila ukweli ni kwamba
Mwanamke bora hupimwa kwa tabia na matendo yake. Kuna ambao wamezaa lakin ni wake bora sana na wale ambao hawajawah zaa ni shida tupu
Mwanamke bora hupimwa kwa tabia na matendo yake. Kuna ambao wamezaa lakin ni wake bora sana na wale ambao hawajawah zaa ni shida tupu
Wanaume weng wao walio OA wanawake walio kwisha zaa mahusiano yalidumu kuliko walio OA wanawake walio toa mimba za kutosha
Aliye MUoa mwanamke aliye zaa sio MJINGA bali MJINGA ni yule mwanaume aliye ikataa mimba na mtoto kisha baadae kuanza mtaman mwanamke aliye mkana mwanzo.
Vijana tusipoteze wake bora kwa kuhofia kusemwa na ndugu na rafik zetu kuwa kwa nn tume oa mzazi
Chagua mwanamke atakae kufaa ktk maisha yako,kumbuka kuzalishwa haimanishi kuwa ye ni MALAYA. Kuamua kuzaa ni kipimo tosha kuwa ye ni bora kuliko huyo aliye toa mimba nying mpaka sasa hana kizazi.
Muheshim mwanamke aliye zaa
Maana magumu aliyo pitia kuanzia kwa ndugu zake na marafik ni nyingi
Katukanwa sana na kadharauliwa sana.....Anajua nn maana ya maisha,
Maana magumu aliyo pitia kuanzia kwa ndugu zake na marafik ni nyingi
Katukanwa sana na kadharauliwa sana.....Anajua nn maana ya maisha,
Ila muepuke sana mwanamke aliye zaa na bado anawasiliana na kuonana na mzaz mwenzake..