-->

HASARA ZA KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE πŸ’”πŸ’”



Image may contain: one or more people
Watu wengi wamejiingiza katika mchezo huu mchafu kwa kuiga na pia kutokujua elimu na madhara ya mchezo huu mchafu wa kufanya mapenzi kinyume na maumbile yao βœ–

Yafuatayo ni madhara ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile kwa wanawake :βœ–βœ–
πŸ‘‰kupata matatizo wakati wa kujifungua,hasa wakati wa kusukuma mtoto kwani pumzi yote huishia nje kutokana na kulegea kwa misuli inayozunguka njia ya haja kubwa (sphincter muscles) hivyo maisha ya mtoto aliye tumboni unakuwa hatarini.

πŸ‘‰Kuambukizwa magonjwa ya zinaa hasa HIV, kwani njia ya haja kubwa haina ute wa asili ambao unapunguza misuguano na michubuko.

πŸ‘‰Kupata ugonjwa wa Kansa, mtu anayejihusisha na mchezo huu mchafu anaweza kuambukizwa virusi vya HPV (Human papiloma virus) na kusababisha muwasho eneo la haja kubwa, virusi hawa hupelekea ugonjwa wa kansa.

πŸ‘‰Kutokuolewa, mwanaume anayekufanyia mchezo huu hawezi kukuoa na atakutangaza kwenye jamii yako.

πŸ‘‰Msongo wa mawazo, mwisho wa kufanya mchezo huu ni majuto na aibu mara baada ya kupata madhara, hivyo msongo wa mawazo utamuandama muhusika hasa baada ya jamii kumtambua na kumtenga..

Madhara kwa wanaume βŒβŒ
πŸ‘‰Kuziba kwa njia ya mkojo, Kuziba husababishwa na chembechembe za kinyesi kwenye njia ya mkojo kwa mwanaume anayewaingilia wanaume wenzake au wanawake kinyume na maumbile βœ–βœ–.

πŸ‘‰kuambukizwa ugonjwa wa UTI (Urinary tract infection), kwani njia ya haja kubwa ina bakteria wengi sana ambao wanaweza kuathiri mfumo wako wa mkojo..

πŸ‘‰Ugonjwa wa Ukimwi (HIV)

πŸ‘‰Kushindwa kuizuia haja kubwa kutokana na mishipa ya haja kubwa kulegea, hasa kwa mwanaume anayeingiliwa kinyume na maumbile yake βœ–βœ–βœ–

πŸ‘‰Msongo wa mawazo kwa kujutia kitendo hiki pale unapopatwa na madhara.

πŸ‘‰Kukosa mke wa kuoa, pale tu jamii inapotambua kuwa unajihusiaha na mchezo huu mchafu βœ–

PIGA VITA MCHEZO HUU, UKISOMA SHARE KADRI UWEZAVYO UJUMBE UWAFUNDISHE WENGI.
What’s app
0621411413kwa msaada na ushauri
Share:

Related Posts:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright Β© 2025 UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU