Wale ambao moyo wako umeushuudia kwamba mimi kumwacha siwezi yaani siwezi .....
yawezekana ulibalee tangu mtoto mchanga maana kama uliishi bila yeye kwanzia miaka 0 -18 afu leo unasema uwezi ushi bila yeye ...mapenzi yamekuzidia kenge wewe ilo pepo kemea sio mapenzi hayo ni pepo linakusumbua ...

maana mapenzi ayawezi vumilia mtu mweu hana nyuma wala mbele anakuchezea hana mpango wa kukuoa unasema siwezi mwacha mapenzi hayo sio ilo pepo
pepo toka kwa huyu anayesoma msg maana anateseka kwa ufinyu wa akili zake