-->

JE UNA MCHUMBA AU MKE/MUME WA AINA GANI?


Matatizo mengi yanaanza hapa, asilimia kubwa ya wachumba, hawana muda wa kuhakikisha anamfahamu mchumba wake vizuri. Kuna mambo ya kuangalia kwa undano katika uchumba.
1. Je mchumba wangu ni mtu wa namna gani?
2. Je mchumba wanagu anatambua thamani ya utu?
3. Je mchumba wangu ni mwelewa?
4. Je mchumba wangu ni mvumilivu?
5. Je mchumba wangu anaweza kujitoa kwa ajili yangu?
6. Je mchumba wangu anathamini furaha yangu?
7. Je mchumba wangu anaweza kuomba msamaha?
8. Je mchumba wangu anampenda Mungu?
9. Je mchumba wangu ni wa dini moja na mimi?
10. Je mchumba wangu yupo tayri kupokea majukumu yetu ya pamoja?
11. Je upo huru kwa mchumba wako kuongea naye jambo lolote?
12. Je mchumba wangu ni rafiki yangu wa pekee?
13. Je mchumba wangu ni kimbilio langu wakati wa shida?
14. Je mchumba wangu ananisikiliza au tunasikilizana?
15. Je mchumba wangu ameridhika kuwa na mimi kwa hali niliyonayo au anataka makuu?
Share:

Related Posts:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © 2025 UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU