-->

ABIA YA MTU NI NATURE hata akiibadili leo inaweza kujirudia kesho,

Image may contain: one or more people

Ni rahisi kubadili kila kitu na kisijirudie lakini sio tabia, Wapo watu huyachukulia MAPENZI kuwa sehemu ya MASRAHI YAO... Kuna mtu ukimpenda anaona kero kwa pendo lako, Wengine ukimpa kero ndo anaona unampenda, Wapo wengine ukimpa FURAHA anakuona wewe mshamba, Kuna ambao ukimpa AMANI yeye anakuita Fala, Rafiki naomba nikukumbushe kwamba MAPENZI NI MCHEZO WA KAMALI kuna wakati anakutana na mtu unashinda, lakini kuna wakati utakuja nawe utashindwa😎
Yote hayo yanakuja mbele yako kwa sababu moja tu "HUJAJUWA UNACHEZA MCHEZO WA KUBAHATISHA KWA SABABU IPI?" Huwezi kuishi maisha mazuri kwa kumfurahisha Mtu bali unaweza kuishi maisha mazuri bila kushirikiana na Mtu, Ukitaka kuharibu maisha yako MPE MTU MOYO WAKO ASIYEJUWA KUWA UNAHITAJI UPENDO WAKE!
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU