1:Wanajua thamani yao wao kuonyesha utupu wao ni kama kujiua wanalinda thamani ya atakaye mwoa.
2:Wanawake wa kuoa niwapekee wanaweza kujieleza walivyo Kwa Mavazi yao ulimwengu hauwabadili maisha yao wao wanaubadili na kuupendezesha.
3: Wanawake wazuri watabia wanavutia uwe na wageni au jirani wanaona maana ya mwanamke ni pambo nyumbani.
4: Wanawake hawa wapekee ambao ardhi inafurahia kutembea juu yakena wao wanakauli nzuri na wakati wote wasikivu.
NDUGU WANAWAKE WA NAMNA HII WAPO UKIONA HAUWAONI UJUE UMEHADAISHWA NA MALAYA WANAOTEMBEA UCHI WAKIBADILISHWA NA ULIMWENGU