-->

MWANAMKE FAHAMU HILI;

Image may contain: 3 people, people standing
Hata ukiwa mzuri zaidi ya CLEOPATRA lakini haina maana ambaye sio mzuri kama wewe hana THAMANI
Kila mmoja kaumbwa kwa mfano wa MUNGU hivyo hayupo BIN ADAM MBAYA ila kila mmoja ana mbaya wake lakini pia ana mzuri wake.
Ndo maana wasio na shape, sura nzuri ndo wenye MAISHA YA HAKIKA unataka kujua ni kwanini?
 Mwanaume makini hamuoi Mwanamke kwa kutazama makalio makubwa, rangi ama kujipodoa bali humuoa MWANAMKE MWENYE MAONO.
Ukitaka kujua wanaume ni wajanja fikiria pamoja nami;
 MBONA WANAUME WANAPENDA MICHEPUKO AMBAO HAWAJATULIA HUKU WAKE ZAO NI WANAWAKE WALIOTULIA?
Hapa utakubaliana nami kwamba, Mwanaume makini haruhusu mkewe kuwa TAMANIO LA WANAUME bali atampa hadhi ya MKE MWENYE HEKIMA huku akijua kabisa analo hitaji la kuwa na Mwanamke MCHARUKO kwa ajili ya TAMAA ili akambinue atakavyo ila hapa napo wababa mnao nisoma nawadokeza;
 MKEO AKITELEZA AKAENDA KUBINULIWA HUKO NJE NA WEWE UNAMHURUMIA ITAKUWA NGUMU KUMRUDISHA NDANI maana starehe ya MAPENZI ni pilika pilika kitandani🛏️
Kubinuliwa ndiko kunaitoa juu G SPOT sasa wewe endelea kumpa penzi la BABA NA MAMA ili aje kuguswa kunako KITI wake wallah UTAKUWA DOWEZI maana kuna anayemfikisha na wewe utapewa kutimiza AHADI YA NDOA 🍒
Mwanamke fahamu kwamba Mwanaume hampendi Mwanamke ASIYE STARA ila ukijiona unawavutia wengi basi ujue WEWE NI MAWINDO YA WANAUME 💯
Wala hutapendwa ila utatamaniwa, Utaliwa sana na mwisho kabisa ni wewe kubakia PEKE YAKO WALA HAPANA NAFASI UTAPEWA NA MWANAUME MAKINI.
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria 🔨
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU