Kwanza ifahamike wazi MTU AKIKUPENDA HAWEZI KUKUFANYA MBADALA⛔
Maana yake atawajibika kukupa MOYO WAKE na hapo ndipo utashuhudia matendo yatokanayo na uhalisia wa UPENDO.
Wengi hujisemea tu neno UPENDO wala hawajui maana na miiko yake, Kwani UPENDO ukitawala hata mashaka hutoweka, Kwa tafsiri ndogo AKUPENDAYE ANAJIWEKA UPANDE WAKO wala hawezi kusikia la mtu ila ataambatana nawe ili kulitimiza PENDO LA DHATI KWAKO 🤝
Jifunze kujua kama UNAPENDWA kutokana na HITAJI LAKO MWENYEWE maana kuna ambao wao wanahitaji UPENDO WA MAZINGIRA hao hata akipewa MOYO KUISHI NAO KWAKE NI KERO ila kwa wale wenzangu na Mimi tunaopenda KUPENDWA wallah kupendwa raha, Tena UPENDWE na mtu unayempenda hata mawakara wa shetani huwaza sana kuingilia PENZI HILO🌠
Anayekupenda hujulikana nje ya haya:-
▪ HAONYESHI UPENDO KISA ANA NYEGEZI.
▪ HAONYESHI UPENDO KISA ANA SHIDA.
Maana yake UPENDO wake HAUNA MAENEO wala NYAKATI ila muda wote anakupa STAHIKI YAKO JUU YA UPENDO huyo unaweza kujifunza namna ya KUMPENDA Kwani atakuwa analo pendo la dhati kwako.
#Elista_Kasema_ila_Sio_She