Kwanza naomba ujue kwamba:-
▪ UKIISHAKUWA MKE AMA MME WA MTU umejifunga kupokea furaha na amani nje ya Mumeo au mkeo, Hivyo unawajibika kulilia hayo kwenye ndoa yako wala sio nje yake, Ukiona juhudi zako hazizai matunda tafuta suruhu kwa ambayo pengine yamemfanya mwenzio kuwa hivyo, Maana ndoa ni ZAO LA MAHUSIANO YALIYOJENGA FURAHA NA AMANI iweje kwenye ndoa usiyaone?
Ukiona umepambana sana na hakuna matumaini ya kuvipata vitu hivyo FIKIRIA lakini sikushauri KUMSALITI MWENZA WAKO⛔
Hatakuwepo Mtu Mme ama Mke atakayempenda MUME au MKE wa Mtu Yaani nakuapia HAPATAKUWEPO⛔ Maana UPENDO una zingirwa na WIVU kwa vyovyote vile atatamka NAKUPENDA ila haitawahi toka kwenye MOYO WAKE😂😂
Ni mkulima yupi anaweza kupariria shamba la mwingine 🤷♂️ only kibarua kwa sababu anahitaji KULIPWA UJIRA WAKE💃💃
Kwa sababu hiyo tambuwa Kwamba MKE AU MUME wa Mtu ni mtu ambaye HANA TENA MTU ATAMPENDA DUNIANI ila utatamaniwa kwa sababu ya vile ulivyo navyo ATAKUJA KWAKO KAMA KIBARUA akimaliza kazi mlipe chake RUDI kwa ndoa yako, nae atakwenda kwa ampendaye kidogo Chao watagawana UPO😂
Kuliko KUMSALITI MWENZA WAKO RUDI kwenye MAOMBI mlilie Mungu wako aone mateso unapitia n then UOMBE UPYA unachoona unakihitaji, NDOA uliichagua wewe wala hukuvutwa kwa kamba ⛓️ hivyo PAMBANA NAYO Mpaka MUNGU atakapokujia ki vingine JE UNAWEZA 🤷♂️
UTAJIJUUUUUUUUUUU📍