-->
Showing posts with label WANAWAKE. Show all posts
Showing posts with label WANAWAKE. Show all posts

MWANAMKE KATAA KUWA MPENZI KUBALI KUWA MCHUMBA*

UTAMUZAIDIAPP
*MCHUMBA* Ni mtu yule aliyeaminiwa na mwanamke au mwanaume kuwa huyu anafaa kuwa mke au mume siku za usoni na akakubalika kwa wazazi pande zote mbili kwa utambulisho rasmi kwa ndugu jamaa marafiki kanisa na jamii kwa ujumla
*MPENZI* ni mtu aliyependa mtu au kitu kwa tamaa fulan aidha kuwa nacho milele ama baada ya muda mfupi kukiacha na kupenda kingne
*UCHUMBA* Ni utambulisho wa matokeo mazuri ya mahusiano ya mpenzi na mpenzi ni hatua njema ya ndoa ni picha ya upendo wa kweli
*ZIFUATAZO NI HASARA ZA KUWA MPENZI MUDA MREFU*
*Hasara No1. KUOLEWA NI NDOTO*
Dada chunga sana kuwa mpenzi kwako kuolewa itakuwa ni ndoto maana ukiwa mpenz kwa Muda mrefu kuna mambo ambayo huwa yanapunguza morali ya mwanaume kukuhitaji tena na kukuona sasa kama ni mtu wa kawaida kama wengne na kufanya kupunguza upendo wa kweli na kukuona umeshuka bei sio special tena ni mtumba usio na thamani
*Hasara No2: KUWA CHOMBO CHA STAREHE*
kwa kizazi hiki nmeona hata waliokoka nao wanashiriki tendo la ndoa kabla ya ndoa leo hii makanisani pamekuwa kama sehem ya kupatia wachumba Dada usikubali Kuwa mpenz ukatumiaka kama chomba cha kupunzia stress kwa mwanaume
*HASARA NO 3. KUSHUKA THAMANI NA UBORA*
baada ya kutumika kama chombo cha starehe jua lazma tu utashuka thamani mwanaume atakuona kama nyanya iliyooza hata tamani tena kuitumia kwa maana ubora umepungua sio kama ilivyokuwa mbichi, mwanaume atakuona huna thaman tena maana hakuna asichokijua kwako sasa akuoe ili agundue nini tamaa yake ameshaimaliza hapo ndio utaanza kuona dharau ambazo hukuzitegemea utajiuliza sana kweli huyu ndio yule aliyekuwa ananipigia goti kuniomba niwe mpenzi wake?
*HASARA NO 4. KUPATA MARADHI*
ogopa sana kuwa na mpenzi kizazi hiki kimeharibika sana magonjwa yametawala mnoo hasa janga la UKIMWI limeshamiri sasa kwa kasi kubwa ukikubali kuwa mpenz aisee utakutana na dhahama hili la magonjwa maana mpenzi usidhani upo pekee ako magonjwa ya zinaaa yatakumaliza mwanamke ogopa sana kuwa mpenz na kubali kuwa mchumba ili kumnyima uhuru mkubwa mwanaume wa kuwa na mpenz mwingine kama akiwa Mpenzi tu kwako atakuwa na uhuru wa kuwa na wapenzi wengi na kukuleteamagonjwa
*HASARA NO 5. KUJIFUNGULIA NYUMBANI*
hii sasa imekuwa ni kilio kwa wanawake wengi baada ya kuwa na wapenzi wao kwa muda mrefu wamewazalisha na kuwatelekeza majumbani mwao na watoto wao. Mdada usikubali kuwa na mtoto asiye na baba kwa kukubali kuwa na mpenz kwa muda mrefu mapenzi mapenzi ni kama upofu muda wowote unaweza ukaanguka shimoni na ukaumia pekee yako uliyemtegemea akakukimbia na kukucha shimon bila ya msaada
*FAIDA ZA KUWA MCHUMBA*
*FAIDA YA 1. UHAKIKA WA KUOLEWA*
japo sio wote walio wachumba wanaweza kuolewa la hasha ila mara zote aliyemchumba huwa anauhakika wa asilimia 95 za kuwa mke wa mtu maana mwanaume tayari ameshajifunga mwenyewe kutangaza na kukubaliana na wazazi wote Amekuchagua wewe kuwa mke wake mtarajiwa kwa hiyo unafaida ukiwa mchumba wa mtu
*FAIDA YA 2. KUWA NA HESHIMA*
Hata wale wanaume wasio na adabu wataanza kuwa na heshima maana sasa umekuwa mchumba wa mtu hawatakusumbua tena. Pia utapata heshima kwa wazazi na ndugu zako nao watajiskia vizuri kwa hatua hiyo uliyoifkia, jamii pia itakupa heshima maana kuna watu hata hatua hiyo hawajaweza kuifikia kabisa
*FAIDA YA 3.MOYO KUTULIA*
Wakati wengne wanatenganisha mavi ya panya kwenye unga wa ugali wewe sasa umeshatenga maji ya ugali umepika umetenga unasubiri kula huna mashaka tena ukiwa mchumba moyo hauwez kuhangaika tena kujiuliza nitaolewa na nani moyo utatulia kabisa maana uhakika unao wa kuitwa mke wa mtu
*FAIDA YA 4. KUKUA KIAKILI NA FIKRA*
Hapa sasa wanawake wengi ndio huanza kujifunza jinsi ya kuishi na mwanaume akili yake sasa hupanuka na fikra zake hufikiria namna ya kuishi na mwez wake,huu ndio muda mzuri wanawake huacha utoto na ukubwa kuingia kukua kimawazo kifikra na kimazingira pia
*FAIDA YA 5. KUPATA JINA NA SIFA NJEMA*
Hata kama ulikuwa na tabia mbaya mtaani kwako ila ukifka hatua ya uchumba wale wale waliokusema ndio wakwanza kukusifia tena "umeona fulan katulia hadi kapata mchumba sasa ataolewa mwezi ujao" wakat hao hao kipnd cha nyuma walisema huto olewa mwanadamu ni mwanadamu tu siku zote ila kuwa MCHUMBA wa mtu kunaleta sifa njema hugeuza giza lililokuwa limekufunika kuwa nuru
*HITIMISHO* huwezi kuwa mke wa mtu wa mtu kabla hujawa 1.mpenzi 2.mchumba kisha 3. mke lazima upitie hatua tatu hizo ili uwe mke wa mtu TAHADHARI mwanamke usikubali kubaki kwenye hatua ya kwanza kuwa mpenzi hiyo ndio steji mbaya sana ambapo ukikubali kubaki kuwa mpenzi itakula upande wako hapo ndio utakutana na *Uchungu,streess,majuto,kujilaani na kulaumu* usikubali kataa kamwe kuwa mpenzi kama unahitaji kupiga hatua nyingine kataa kuwa mpenzi kubali kuwa mke mtarajiwa yaani MCHUMBA maana hata mtoto anapozaliwa huanza kukaa kutambaa na mwisho kusimama MWANAMKE usikubali kabisa kukaa milele hakikisha unasimama ukiona MWANAUME anataka ukae tu hataki kukusimamisha kuwa mchumba kwako jua huyo hajatokana na Mungu kabisa MWANAMKE Shituka acha kufanywa kama keki kila mtu anaonja kama tamu ukimuendekeza mwanaume kukufanya mpenzi tu hakika hutafikia malengo ya kuwa mke wa mtu utabaki kama daladala kila mtu atapanda mwisho wa siku itaharibika itakaa garage tu utabaki kuchezewa tu utazeekea kwenu bila matokea yoyote MWANAUME sio mtu wa kumuonea huruma kabisa eti unampa kila kitu utajuta one day MWANAMKE TAFAKARI CHUKUA HATUA
Share:

FAIDA ya Kuvaa Socks Miguuni Wakati wa Tendo la Ndoa..!!!



Utafiti uliofanywa na jopo la watafiti wenye utaalam wa masuala ya uhusiano na saikolojia wa Chuo kikuu cha Wageningen nchini Uholanzi umebaini faida za kushiriki tendo la ndoa ukiwa umevaa socks miguuni.
Bila shaka utakuwa umewahi kuona picha za watu wanaotengeneza taswira ya wanandoa wakiwa kitandani na socks miguuni. Huenda waliuamini utafiti huu na baada ya kujaribu wakaona unazaa matunda wayatakayo.
Katika utafiti huo, waligundua kuwa uvaaji wa socks miguuni kwa wanaume na wanawake kunaongeza ari zaidi na uwezekano wa kufika kileleni kwa haraka na mshindo wa nguvu zaidi kutoka 50% (kabla ya kuvaa socks) na 80% (baada ya kuvaa socksi).
Utafiti huo ulizaliwa kutoka kwenye ule wa awali ulifanywa mwaka 2011 na Chuo Kikuu cha Johns Hopkins. Watafiti wa Johns Hopikins walikuwa wakijaribu kuusoma ubongo wa binadamu wakati akishiriki tendo la ndoa, kujua madhara ya kisaikolojia na kimwili anayoyapata wakati anapofika kileleni.
Wakati wakiendelea na na zoezi hilo, watu waliokuwa wanatumika kama sampuli wakifanya mapenzi, walilalamikia hali ya ubaridi ndani ya chumba chenye ‘scanner’ ya ubongo. Ndipo watafiti hao walipoamua kuwavalisha socks miguuni. Ghafla uwezo wao katika tendo hilo ulipanda kutoka 50% hadi 80% za kukifikia kilele kwa kishindo zaidi.

Nao watafiti wa Chuo Kikuu cha Wageningen wamebaini kuwa kuiweka miguu pekee kwenye hali ya joto kupitia socks, kunaongeza kwa asilimia za za ziada 30.

Usisahau kushare post hii.πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome
Share:

NI MAMBO YAPI HASA YANAYOMFANYA BINTI KUONEKANA *WIFE MATERIAL* NA KUWAVUTIA "WAOAJI" NA HATIMAYE KUOLEWA ??!....

Mature black couple embracing on sofa while looking to each other. Romantic black man embracing woman from behind while laughing together. Happy african wife and husband loving in perfect harmony. Stock Photo - 124982868
Wanawake wengi na mabinti wamekua wakihangaika mno kutafuta namna ya kuwa na mvuto kwa wanaume WAOAJI ila wengi hufeli na kujikuta wakiangukia katika midomo ya matozi wala bata wavaa milegezo mwishowe kuishia kuchezewa na kuumizwa hisia zao. Ukweli ni kwamba kujiweka ili uonekane kuwa wewe ni WIFE MATERIAL haihitaji Degree wala Diploma.


JE! WAOAJI HUVUTIWA NA NINI ZAIDI?
Dada, Mwanaume mwenye busara hashawishiki na Uzuri ulionao, umbile lako, mawigi na mitindo ya nywele unayobadilisha kila siku, wala kwa rangi yako hiyo ya kizungu uliyoinunua dukani kwa sh 3500.

Mwanaume mwenye busara huvutiwa na Hekima, busara na maarifa uliyonayo. Uzuri wako bila Vitu hivi ni sawa na BURE, hamna kitu.
Muonekano wako wa nje utavutia wababaishaji (mashalobalo) na si Waoaji. Uzuri wako unafaa kwa matumizi ya mara moja kitandani na si kwa kuwekwa ndani.
Kweli dada ni mzuri, shape ya kuvalia Nguo unayo, hata ukivaa dela bado unaonekana, Lakini sasa unaifukuzia miaka 30 hata dalili za Ndoa hamna, unabaki kushuhudia harusi za wadogo zako miaka 20 - 22 wakiolewa.
Dada ni kweli kwa nje unaonekana mtu lakini ndani hauna kitu, upo mtupu sana, umepwaya. Haubebeki, haununuliki, wala hauuziki.
Kuna msemo usemao "Uzuri wa Mkakasi ndani kipande cha mti". Biblia pia inasema
"Mwanamke mzur asiyekuwa na HEKIMA ni sawa na Pete ya dhahabu Katika Pua ya Nguruwe" (Mithali 11 :22).
Hekima ndio kitu pekee kisichoharibika unachopaswa kujivunia nacho, hata kama bila ya Make Up, Hekima itakufanya ung'are.
"Hekima ya mtu HUMNG'ARIZA USO wake, na Ugumu wa USO wake HUBADILIKA" (Mhubiri 8 :1).
Tabia yako ndio Kikwazo chako. Mwanamke hauna nyama ya ulimi, haujui kushuka, mkali kama pilipili mbuzi kila siku hauishi Maudhi. Nani anahitaji mwanamke wa namna hii? Ni HERI ukae peke yako kwa amani kuliko kukaa na mwanamke mgomvi asiyeisha vurugu (Mithali 27 :15).
Unapenda maisha ya mtelemko, vyakula vya Supermarket kupika hautaki. Dada hivi unafikiri maisha ni movie za Kifilipino au Isidingo? Mbona una mawazo Mgando.!
Unataka mwanaume sijui mrefu, sex body, mwenye gari. Aisee, kweli..! Hekima ni ulinzi na ni zaidi ya vazi la heshima. Hilo gari Umechangia hata gharama ya kununua taili au 'site mirror'? Mbona una Vituko?
Kwa kuendekeza tamaa zisizo za msingi utatumiwa na kuachwa kama tambala la deki au Nguo ya mtumba. Nani aliyekuambia SIFA ya Mume BORA ipo kwenye kumiliki gari? Mbona unazidiwa AKILI hata Sisimizi ambaye anajua Kujitafutia?
Mwanamke mwenye busara hukubali kuanzia chini na hutafuta pamoja na Mumewe. Kuna msemo usemao UKIONA VYA ELEA, UJUE VIMEUNDWA. Na mtaka cha Uvunguni sharti Ainame.
Ngoja nikupe mfano HALISI labda utanielewa kama una kichwa cha KUELEWA. Hivi umewahi kuulizia ndoa ya Mkurugenzi wa MICROSOFT tajiri namba 1 duniani BILL GATES na mkewe aitwaye MELINDA?
Unafikiria kwanin BILL GATES alimuoa MELINDA? Ni kwa sababu ya Uzuri alionao Melinda? La hasha! Kama ni Uzuri, Bill Gates hakushindwa kuwa na mwanamke yoyote mzuri anayemtaka.
Niliwahi kusoma kwenye mtandao fulani wa kijamii kuhusu habar hii, Bill Gates alisema sababu ya kumuoa Melinda ni Hekima aliyonayo na namna anavyojua kukaa Katika nafasi yake kama Mwanamke.
Melinda alikuwa anampikia chakula yeye mwenyewe na si kutaka chakula cha supermarket, alikuwa anamfulia Nguo kwa mikono yake mwenyewe na si kwa washing machine kwa kisingizio kuwa kucha zitakatika au mikono itachubuka.
Sasa kwa huduma hizi ZOTE, ukiongezea na Uzuri alionao, kwanini Mzee asiweke chombo ndani? Hapa hakuwa na ujanja.
Sasa kama ungekuwa wewe na akili yako hiyo ya bandia, si ungeona mgodi umekudondokea. Chakula ungekuwa umeweka order ya mwaka mzima supermarket za KFC.
Nguo zingekuwa zinafuliwa India , zinaanikwa na kunyoshwa Paris Ufaransa, na zinarudishwa kwa ndege Marekani. Aisee..! Hapa upele ungempata Mkunaji.
Shika point hii ya mwisho, HAIJALISHI mwanaume awe na PESA kiasi gani, atahitaji kula chakula chako na si cha housegirl au supermarket, atahitaji kuona unamfulia Nguo zake na si kufuliwa na dobi, housegirl au washing machine.
Kuingia kwenye Ndoa TU mtihani, JE UTAWEZA kulea Mume wewe..?!
.........................................
....................
"KUMCHA MUNGU NI CHANZO CHA HEKIMA & MAARIFA "
MITHALI 1 :7.
Nakutakia siku Njema Mungu Akubariki na kukulinda
Usisahau ku LIKE
Share:

🍌🍌 [WAKUBWA TU 18+]NAMNA YA KUGUSA MAENEO YOTE NDANI YA MAUMBILE YA MWANAMKE! (KUMT*MBA VYEMA) πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„

Upendo wa Kweli Haupo Kwenye Tendo la ndoa Pekee! - Darasa Huru La ...
1.kila mb-oo ikiwa imesimama/kudinda inaweza fanya kazi hiyo labda kama unazungumzia kugusa ndani kabisa if not kwenye kizazi au hapo kwenye kizazi..kama ni hapo ni hivi..hapo ukiwa na mb-oo ndefu ni rahisi sana kugusa ila pia sio lazima uwe na m-boo ndefu ndio upaguse ila inategemea na mkao uliomuweka mwanamke..kuna mikao a.k.a mikunjo ya kutiana yaani ukipress m-boo vizuri lazima uguse kizazi...mfano mbuzi kagoma afu mwanamke asiwe na tako kubwa kwani coming from behind kama mwanamke anatako kubwa lazima uwe na mb-oo ndefu kugusa kizazi..au wee ukilala akiikalia kwa juu ni rahisi kugusa kuleee..pia ukimuweka chini mkunje na miguu yake aiweke kwenye mabega yako na wewe uwe kama umechuchumaa hapo unapata ile tunaita deep penetration yaani uboo unazama woote na kila kona utaigusa ukitaka hata kiza-zi hii hata kama una mb-oo ndogo au yeye anaku-ma kubwa lazima utagusa cha msingi hakikisa mb-oo inasimama barabara na inakuwa

πŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œ pia anatakiwa kukatika ili uum-e wake ukune sehemu zote za bustani ya bibi yake. Jaribu kukuna kushoto, kulia, juu na chini ya uke kama vile mtu anayesafisha glasi/bilauri/kikombe kwa movement ya kuanzia juu kwenda chini ya kikombe kila upande. Pia fanya movement kama vile ya "kinyamkera" lakini kuanzia juu ya uke kwenda chini.Jaribu kuchanganya moves za taratibu kama vile unaipapasa kum-a kwa uum-e wako kila sehemu na moves za kutwanga kama vile mtu anayetwanga nafaka katika kinu. Badili staili.wanawake wengi wana sehemu zao nyeti (g spot) ambayo hukunwa vizuri wakati wa staili ya chuma mboga (dogi staili); wengine huridhishwa zaidi wakati unapomweka chini ukaiinua miguu yake mpaka magoti yake yaguse mabega yake huku umemshika barabara mafundo (ankles) zake. Kama mwanamke ni msafi 100% na hana maradhi mtayarishe kwa kumyonya ku-ma yake na kisimi chake. Fanya map-enzi na mwanamke ambaye unampenda kwa dhati tu au mke wako ili uwe na focus zaidi kwa kuchanganya ngono na m-apenzi ya dhati. πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„ 

3. kwa ukweli style 2 ni nzuri sana km unataka kumgusa ktk kila kona ya ku-ma, iwe ndogo au kubwa, dogy style na ile mke kukalia m-boo na kujipimia mwenyewe huwa ni hodari ktk kuifukua ku-ma sawasawa, lkn pia kunyonya kinembe ni muhimu huku kidole kikikupa sapoti. πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„ ili umridhishe na umkune mwanamke kisawa sawa lazima muwe wasafi na wawazi ktk kutombana ndo mwanamke ataona raha ya kutombwa na mwanaume ataona raha ya kutombaπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œ 🍌🍌🍌🍌🍌🍌🍌🍌🍌 πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„ mahabaπŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„proffesionalπŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„
Share:

UNAFIKIRI NI KWANINI WATU WENGI HUYAPA NAFASI KUBWA MAHUSIANO YA AWALI JAPO YALIWAUMIZA KULIKO WALIYOPO?

UTAMUZAIDIAPP
Kila mtu anapenda kupendwa na kuthaminiwa na hiyo ndo FALSAFA YA MAPENZI. Huwezi kusema upo kwenye MAHUSIANO AMA NDOA na mtu ambaye hakupendi wala kukuthamini, Ili itimie maana ya MAPENZI ni pale mtu anapotengeneza DHAMANA YA UPENDO.
Wahenga walisema;
"AWALI NI AWALI" ndo maana mtu anapohisi MAHUSIANO AU NDOA yake haimpi AMANI kwa hakika MOYO HUUGUA na hapo njia za maridhiano kuwa wazi kwa yule ajuaye kukosea na kujisahihisha, Makosa ni sehemu ya u-bin adam na ndo maana HAKUNA MKAMILIFU.
Ubaya wa uvumilivu ni pale kila unapojaribu kumuweka sawa mwenza wako ili muendane lakini inakuwa kama HAIWEZEKANI.
Kwenye UPENDO WA DHATI uongo hujitenga, Na ndo maana THAMANI YA UHUSIANO AMA NDOA YA AWALI hujulikana pale mtu anapo kuwa amebaini kwamba ALIKOTOKA KULIKUWA NA UPENDO WA DHATI na hapo alipo DRAMA NI NYINGI KULIKO UKWELI😭😭😭
Yapo MAHUSIANO na NDOA nyingi tu zinavunjika kwa KUDHANIA lakini Mtu anapokuwa amekuacha ama umemuacha Kuna wakati atajua kwamba wewe ndiye ULIYEMPENDA kuliko alivyofikiria hata akaamua kukuondoka.
Na mara nyingi WAWILI WAKITENGANA NA KILA MTU KUWA NA MTU MWINGINE haiwezekani kurudisha ule UPENDO ambao wanaamini walikuwa nao awali, Kwa sababu UPENDO WA DHATI hauchangamani na USALITI Kwani kama ULIMPENDA kwa hakika usingeanzisha UHUSIANO mwingine UNGESUBIRIπŸ’ƒπŸ’ƒ
Akiishakuwa alikuwa ama anae mtu Mwingine na mkapanga kurudiana niamini MTALINDWA NA MAZOEA wala sio UPENDO 
Mwenye UPENDO WA DHATI hawezi kubeba watu wawili kwa wakati mmoja, Ukiona hivyo JIONGEZE MKO KWENYE MAZOEA wala sio kwa UPENDO.
Share:

Hivi unajua kua kila mwanamke anauwezo wa kuifanya ndoa yake idumu au ianguke, kuimarisha au kuidhoofisha,,,

UTAMUZAIDIAPP..
Hali zenu, hamjambo, ,mpooo,
πŸ’•πŸ’•πŸ’•Kwako mwanamke mwenzangu kukumbushana muhimu ili tulinde na tudumu ktk ndoa zetu
πŸ’•πŸ’•πŸ’•Hivi unajua kua kila mwanamke anauwezo wa kuifanya ndoa yake idumu au ianguke, kuimarisha au kuidhoofisha,,,
πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•Jion hii ya leo Tukumbushane kwa haya machache yanaweza kukusaidia ,kuijenga, Kuongeza mapenzi ktk ndoa yako, na kwa wale watarajiwa wengne wayajue hayo. .....
πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•Kwa Asilimia mia ukimfanyia mumeo hayo kila kukicha mmeo atakusifu na atakutamkia hajajutia kua nawewe kila siku atakumwagia sifa na wengne furaha zao mpaka wanamwaga machozi ,,,Jitahid uwe mke mwema kwa mume wako hili linawezekana bila shaka ukizingatia mafundisho ambayo unaona yapo sahihi uwenda yatakusaidia ktk ndoa yako,,,,,
Kua mwenye KAULI nzuri ya KUBEMBELEZA,,,,mda wote kwa mumeo ,Wewe kama
πŸ’•πŸ’•πŸ’•mwanamke jaribu /Jitahid ukiwa na mume wako mda wote mlegezee sauti ,maneno matamu mda wote yawe yenye kumtulizisha akili, sio katoka na stress nje ,Au kazin anarudi nyumban nawewe unamjazia stress kwa kumjazia lawama za apa na pale, km kuna kitu ujapendezwa nacho msubiri atulie atoe machovu ,akishatulia hayo mengne utamweleza badae kwa upole na utaratibu sio kuchonga mdomo uo aifai bibi wee hapo ujengi unabomoa,,,,,
Kua mwenye SUBRA
πŸ’•πŸ’•Maisha kuna kupata na kukosa ,,mkipata sema Alhamdullilah na mkikosa pia sema Alhamdullilah RIDHIKA na Hali yenu, ,sio leo umeenda kwa shoga ako umekuta kanunuliwa kitu kipya na mumewe naww unarud kwako linakuuma rohoni unaanza kupanic ooh kwanini sijanunuliwa,,ukirud nyumban unaanza kumtupia lawama mumeo fulani kanunuliwa iki mimi mpk leo hujaninunulia,,,,hapo unatoa lawama wakti hali ya mumeo unaijua haiku sawa ,,,,
πŸ’•πŸ’•πŸ’•Jaribu wakti mko wenyewe wawili faragha mnakula rahaaaa za hapa na pale mueleze darling wako kwa sauti ya upole nahtaji unifanyie kitu flani km anaouwezo wakukuletea basi atakuletea, ,na Kama hana atakwambia subiri kidogo kama hakiwezi pia atakwambia hawezi ndio mana ukaambiwa ndoa uvumilivu,,,,, unaona watu wemeishi miaka 50 /70 ktk ndoa sio km awajapitia changamoto hizo bali wamevumiliana mpaka leo wamezeeka pamoja
πŸ’•πŸ’•πŸ’•Baadh Wanawake wasasa subra /uvumilivu vinawashinda mtu anataka mambo kwa pupa anataka kutimiziwa jambo kwa lazima ajui subiri kwanza,,,,atambui mume wake anapomwambia hana yeye anakuja juu, kama mume wako anakupenda na kukujali pia kwann asikufanyie unachohtaji lakn wakt mwingne hana mfuko hauruhusu lakn mke aliekosa subra anaona atumiziwi ndio mana leo ndoa zimekua fashion mtu anaolewa January anaachwa aprili kwa kukosa subra na uvumilivu hatambui km ni kipindi tu kitapita inshaAllah mambo yatakua sawa utatimiziwa ukitakacho.
πŸ’•πŸ’•πŸ’•Mwanamke jifunze /Jitahid uwe MSAFI
Ndio usafi uwe wenye kumvutia mume mda wote na hata kutamani asitoke nje na hata akitoka basi akuwaze ,akutamani na kupanga kurudi mapema ili awe naww mda wote, ,Hakikisha mda wote nyumba yako ni safi kuanzia Chumbani mpk nje ya nyumba,Wewe mwenyewe Hakikisha mda wote uko msafi na, Mpaka mumeo Hakikisha akitoka umtizame kama yuko ok,,,
πŸ’•πŸ’•πŸ’•Nguo zake umezinyoosha pasi ,umuweke sawa yaan awe smat ndio atoke,,,sio mume anarudi kazini akukute na Nguo alokuacha nayo asbui mpk jion bado unayo inanuka shombo inahuuu, ,mume akirudi akukute umejipamba umependeza ,unanukia ,,nyumba nayo inanukia na Nguo ya mtego umemvalia
Muelewa kuna wanaume wengne wanapenda usafi yaan utakuta anakupenda tu asikii aoni kwasababu ya usafi wako,,,sio mwanamke ujipatilizi mpk anaona aibu kuja hata na rafik kwa jins nyumba ilivyo RAFU badilika bibi wee uchafu unaweza kukupelekea ukaiyangusha ndoa yako utakuta wengne mume ndio msafi kuliko mke badilika mtt wakike
#Dumisha Ndoa Yako
Share:

UNAACHWA KWASABABU UNALALAMIKA SANA KUHUSU KUUMIZWA;


Umeshaumizwa mara ya kwanza, ya pili na ya tatu, unabeba maumivu yako kila sehemu. Wanawake wengi walioumizwa wanadhani kua wanaume wana huruma, wanadhani wakimuambia mwanaume “Sitaki tena mtu wa kiniumiza kama X wangu” ndiyo mwanaume hatamuumiza. Hiki ni kitu cha kwanza ambacho ukimuambia mwanaume kuhusu wewe basi kuna uwezekano mkubwa akakuacha kwasababu kuu mbili.
Kwanza kabisa nikuwa, kama wewe si msichana wake wa kwanza basi kuna sehemu nayeye ameshaumiza, kwamba ili awe na wewe alishakua na mwanamke mwingine, akamuacha na kumuumiza kama ulivyoumizwa. Mara nyingi unakuta tabia nyingi za X wako naye anazo, kwakulalamika humfanyi akuonee huruma bali akuone kuwa wewe ni mwanamke wa kulalamika lalamika sana hivyo kuboreka hata kuwa nawe kwani anaona pia hujiamini.
Pili nikama unamuambia kua wewe ni mtu wa kukataliwa, kwamba wewe ni takataka ya mtu na hakuna mtu anayependa takataka. Tuchukulie mfano chakula kingeweza kuongea, wewe ufike hotelini halafu kabla ya kuanza kula chakula kinakuambia “Nawewe usije kunionja na kunaicha kama flani, yeye alinishikashika akala na kunichafua kisha akaniacha!” Hivi ndiyo ungekula kile chakula au ungeachana nacho. Mimi ningeacha na kama ningekua na njaa sana ningekula kidogo kisha kuacha.
Wanawake wanaolalamika lalamika sana kuhusu kuachwa kwanza wanaboa, pili wanajishushia hadhi, wanajionyesha kama ni watu wa kuachwa achwa. Anajua umeachwa lakini huna haja ya kulia, huna haja ya kujionyesha mnyonge, acha kuonyesha kua kuna mwanaume alishakukataa ndiyo ukamkubali yeye. Hembu muambie kua umeachana na X wako, mlishindwana tabia basi, muambie alikua anakusumbua ukaona kila mtu aishi kivyake basi.
Asikuone makombo, uonyeshe kuwa angalau unajiamini, kwamba wewe si chakula kilichokataliwa bali ulimkataa mlaji. Wanaume wanapenda wanwake wanaojiamini, wanaojua thamani zao na ambao hawalalamiki lalamiki. Kama ni mtu wa kulalamika lalamika, kila saa unakua na huzuni basi jua unawakimbiza wanaume, unawafanya wakuchezee wakuache kwani hakuna mwanaume anayetaka wanawake wenye huzuni, kila mtu anataka furaha, anataka kuwa na mtua mbaye hajakataliwa.
Image may contain: 1 person, standing
Share:

UMUHIMU WA KELELE KITANDANI NA JINSI YA KUPIGA KELELE (KUNUNG'UNIKA KWA MAHABA) 🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺

Happy Black couple smiling Stock Photo - 33804121
πŸ“’Kwa mwanaume hakuna kitu kinakuwa sexy kama mwanamke ambaye anakuwa loud kitandani na si kuwa na vikelele tu bali kujihusisha moja kwa moja kwa mwanamke katika kuongea maneno matamu
(wengine huita dirty words hata hivyo hakuna dirty words hapa isipokuwa sweet words)
πŸ“’Mwanaume akiwa kwenye game anapenda sana kujua mke wake anajisikia vizuri kwa kile anafanya na kwamba mwanamke anaonesha total participation, pia vile mke unatamka jina la mume wako kwa manung'uniko ya kimahaba huleta raha sana pamoja na vikelele vingine kama vile ooooh! aaah! mmmh! nk humpa uwezo zaidi mume kuendelea kukurusha kwa namna ya ajabu na kuweza kukurishidha inavyotakiwa.
πŸ“’Kawaida mume huaanza kukuuliza kama kile anafanya unakipenda na kwa njia ni vizuri wewe mwanamke kumweleza vile unajisikia na unaweza kuji-express kwa uwezo wako wote na hapa ndipo unaweza kuongea sweet word zote (ulizojufunza au kadri feelings zako zinavyokupa taarifa kwenye kiungo kile kinapata raha au kinaguswa kwa mguso mtamu zaidi) si unajua mapenzi ni sana na msanii mzuri anajua nini aongee na aongee namna gani na mwanamke umejaliwa kuwa na sauti ambayo kwa miguno na kulalamika kimahaba mnaweza kuwa na sherehe nzuri sana ya kuwa mwili mmoja.
πŸ“’Kuwa kitandani ni opportunity kubwa sana mke kuweza kuonesha umaridadi wake haina haja kushona mdomo au kubaki kimya kama vile mume amelala na gogo badala jitume kwa maneno na matendo, huu ni uwanjawako, mume wako, jipe raha na enjoy raha ya mwili.
Piga kelele kwa raha zako na unaweza kutamka kitu kizima kizima bila woga maana huyo ni mume wa ujana wako,au mpenzi wako
πŸ“’Wanaume nao wakati mwingine huwa insecure kama wanawake wakiwa kitandani hivyo kumtia moyo kwa miguno na vikelele vya kimahaba huweza kumpa ushahidi kwamba una-enjoy kile anafanya na kwamba skills zake na utaalamu wake mke unampa credit naye atajisikia vizuri na kufanya zaidi na hata kujifunza siku nyingine afanye kwa ufundi zaidi.
Hivyo usiogope kuwa mbunifu, lazima uwe mshangiliaji mzuri kwenye mechi na mumeo na hiyo itakuhakikishia furaha zaidi wakati wa kuwa mwili mmoja.
πŸ“’Mambo ya kuzingatia
Hata kama wanaume huwa tunafurahia sana mke kuwa noise kitandani ni muhimu kuwa makini na sauti kwani kupiga kelele kama unapigwa na majambazi si ustaarabu kwani mtaa mzima unaweza kuhamaki na kuja kutoa msaada kumbe watu mnapeana raha zenu au mnaweza ku-attract mijitu inayopenda kupiga chabo bure.
Ni vizuri hakikisha chumba kina Mfumo mzuri wa kuchuja sauti kwani mnaweza kushtakiwa kwa kuzingatia kifungu cha sheria cha Antisocial behaviour order kwani baadhi ya nchi zinafuata na mnaweza kuishia jela au mkajenge nyumba yenu huko shamba mpigiane mikelele yenu.
Wanasayansi wanasemaje kuhusu mwanamke kupiga kelele kitandani?
Wanasayansi wa kijerumani katika utafiti wao wamegundua kwamba mwanamke anapokuwa na kelele kitandani wakati wa kuwa mwili mmoja mwanaume huwa na asilimia 59 za kukojoa (siyo mkojo) tofauti na asilimia 2 kwa mwanamke kuwa kimya na pia mwanamke huwa na kilele zaidi kitandani akiwa fertile na kwa mwanamke kuwa na kilele speed ya mwanaume na uwezo wa kusugua huongezeka
πŸ“’Sasa mkiwa kimya tu jamani ukute kitanda ndo kile cha kwinyokwinyo si ndo balaa maana utakuwa husikilizii raha unakilaani kitanda tu hiki nacho mpaka majirani wajue kama tunakula raha !!!
πŸ“’kama.mnaona aibu kuongea basi kama chumbani kuna redio wekeni mziki wa taratibu uongee badala yenu πŸ‘ŒπŸΌ
πŸ“’Maneno ya mahaba jamani ndo mafuta tosha ya kuendesha hilo gari lenu la mahaba πŸ‘ŒπŸΌπŸ‘ŒπŸΌπŸ‘ŒπŸΌπŸ‘ŒπŸΌπŸ‘ŒπŸΌ
Share:

ULISHAWAHI KUJIULIZA KWANINI MWANAMKE ANALIA KIRAHISI ANAPOUMIZWA!

UTAMU KITANDANI APP

KakaπŸ‘‡πŸ‘‡
Ushawahi kujiuliza kwanini mwanamke analia kirahisi anapoumizwa? Ni kwa sababu mwanamke hapendi matatizo. Pale alipo mwanamke, hua panakua na mpangilio mzuri ikiwemo na amani.

Muulize mtu yoyoye aliyefanikiwa, aidha atakwambia ni kwa sababu ya mama yake kumpa support au mke wake.

Mwanamke aliumbwa kuleta amani na mpangilio katika maisha. Hivyo kama sehemu hakuna amani na mpangilio mzuri mwanamke hawi comfortable hata kidogo.

Anaweza akaingia kwenye nyumba ambayo ni chafu na haina mpangilio akaisafisha na kuiweka katika hali nzuri. Anaweza akamuona mwanaume wake mchafu, asie na mpangilio wowote wa maisha akajitahidi kuyaweka maisha yake kwenye hali nzuri ingawa atakutana na vikwazo kutoka kwa mwanaume huyo ikiwemo kutosikilizwa ushauri wake.

Mwanamke anafanya kazi yake vizuri mahali ambapo kuna mazingira ya amani na mpangilio mzuri.

Kutokana na hayo, hata kwenye MAHUSIANO, mwanamke anahitaji amani na hujitahidi kwa kila hali kuwe na amani. Ukiwa kama mwanaume, ni jukumu lako kutengeneza mazingira ya amani kwa ajili ya mwanamke wako. Hautakuja kuona uwezo wa mwanamke wako katika mazingira ambayo hayana amani.

Anapokuwa hana amani na wewe, mwanamke wako hujisikia hawezi kitu, ile nguvu yake ya ndani haiwezi kuonekana, ule uwezo wa usaidizi humpotea kabisa.

Kama ukitaka kumfaidi mwanamke wako, mpe amani, mjali na mpe ile attention anayoihitaji. Kuwa karibu yake pale anapokuhitaji msikilize huku ukimuangalia machoni mwake,mwambie ndio maana nakupenda

Mwanamke anapokua na amani, uhakika na kujiamini kwamba yupo sehemu sahihi, ile nguvu na uwezo wake huja automatically. Atakuombea mara kwa mara wakati ukihangaika kujitafutia kipato. Usitegemee mwanamke akuombee ufanikiwe wakati mafanikio yako ni mwiba kwake.

Unapomjali vizuri mwanamke wako alie bora, atakupa support ambayo hauwezi kuitegemea. Mungu husikia kilio cha wanawake. Mungu hujibu maombi ya wanawake.
Ndio maana kuna wanaume wengi leo toka wameaanza kutafuta maisha hawajafanikiwa ila siku tu wakiamua kuchagua mwanamke na kuoa wanatajirika
@maisha_halisitz
Zaidi njoo lipia ushauri ni elfu 10 tu
Share:

Kama wewe unajijua ni mzuri na mrembo soma hii


πŸ“πŸ“Ukijaliwa kuwa Msichana mzuri na mrembo, usidhani utatetemesha kila Mwanaume, kuna wanaume na akili zao kichwani,urembo wako hauwasumbui kama bichwa lako ni kanyaboya, uzuri wako hausaidii kitu, na utashangaa no one is paying attention, watu utakaowapata ni walewale kanyaboya wenzako, na hawana future utabaki unaliwa bure kila siku unatoa macho.
πŸ“πŸ“Ukipata mwanaume anakupenda unaanza drama zako na kupiga watu danadana, madai yako hujali na unadhani hata akiondoka utapata mwingine kisa wewe ni mzuri, la hasha Mwanaume akijitoa mhanga kukupenda kwa uzuri wako mheshimu, maana viumbe wa kike wakiwa wazuri ni shida na matatizo hakuna mtu anataka, sasa ukimwongezea na drama pamoja na yeye kujigeuza mpalestina kwako utajikuta umeolewa na kioo cha chumbani kwako, maana hicho ndo kinakudanganya sana kwamba we ni mrembo.
πŸ“πŸ“Watch out drama zina mwisho, leo unacheza na mioyo ya watu unajiona we kifaa usidhani wanaume hawaumii, wanaumia sema hawasemi tu, machozi yao kama ya samaki.
Najua kuna wengine walipojihisi si warembo wamepita hivi πŸ˜€πŸ˜€
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU