-->
Showing posts with label WANAUME. Show all posts
Showing posts with label WANAUME. Show all posts

🍌🍌 [WAKUBWA TU 18+]NAMNA YA KUGUSA MAENEO YOTE NDANI YA MAUMBILE YA MWANAMKE! (KUMT*MBA VYEMA) πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„

Upendo wa Kweli Haupo Kwenye Tendo la ndoa Pekee! - Darasa Huru La ...
1.kila mb-oo ikiwa imesimama/kudinda inaweza fanya kazi hiyo labda kama unazungumzia kugusa ndani kabisa if not kwenye kizazi au hapo kwenye kizazi..kama ni hapo ni hivi..hapo ukiwa na mb-oo ndefu ni rahisi sana kugusa ila pia sio lazima uwe na m-boo ndefu ndio upaguse ila inategemea na mkao uliomuweka mwanamke..kuna mikao a.k.a mikunjo ya kutiana yaani ukipress m-boo vizuri lazima uguse kizazi...mfano mbuzi kagoma afu mwanamke asiwe na tako kubwa kwani coming from behind kama mwanamke anatako kubwa lazima uwe na mb-oo ndefu kugusa kizazi..au wee ukilala akiikalia kwa juu ni rahisi kugusa kuleee..pia ukimuweka chini mkunje na miguu yake aiweke kwenye mabega yako na wewe uwe kama umechuchumaa hapo unapata ile tunaita deep penetration yaani uboo unazama woote na kila kona utaigusa ukitaka hata kiza-zi hii hata kama una mb-oo ndogo au yeye anaku-ma kubwa lazima utagusa cha msingi hakikisa mb-oo inasimama barabara na inakuwa

πŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œ pia anatakiwa kukatika ili uum-e wake ukune sehemu zote za bustani ya bibi yake. Jaribu kukuna kushoto, kulia, juu na chini ya uke kama vile mtu anayesafisha glasi/bilauri/kikombe kwa movement ya kuanzia juu kwenda chini ya kikombe kila upande. Pia fanya movement kama vile ya "kinyamkera" lakini kuanzia juu ya uke kwenda chini.Jaribu kuchanganya moves za taratibu kama vile unaipapasa kum-a kwa uum-e wako kila sehemu na moves za kutwanga kama vile mtu anayetwanga nafaka katika kinu. Badili staili.wanawake wengi wana sehemu zao nyeti (g spot) ambayo hukunwa vizuri wakati wa staili ya chuma mboga (dogi staili); wengine huridhishwa zaidi wakati unapomweka chini ukaiinua miguu yake mpaka magoti yake yaguse mabega yake huku umemshika barabara mafundo (ankles) zake. Kama mwanamke ni msafi 100% na hana maradhi mtayarishe kwa kumyonya ku-ma yake na kisimi chake. Fanya map-enzi na mwanamke ambaye unampenda kwa dhati tu au mke wako ili uwe na focus zaidi kwa kuchanganya ngono na m-apenzi ya dhati. πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„ 

3. kwa ukweli style 2 ni nzuri sana km unataka kumgusa ktk kila kona ya ku-ma, iwe ndogo au kubwa, dogy style na ile mke kukalia m-boo na kujipimia mwenyewe huwa ni hodari ktk kuifukua ku-ma sawasawa, lkn pia kunyonya kinembe ni muhimu huku kidole kikikupa sapoti. πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„ ili umridhishe na umkune mwanamke kisawa sawa lazima muwe wasafi na wawazi ktk kutombana ndo mwanamke ataona raha ya kutombwa na mwanaume ataona raha ya kutombaπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œ 🍌🍌🍌🍌🍌🍌🍌🍌🍌 πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„ mahabaπŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„proffesionalπŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„
Share:

UNAFIKIRI NI KWANINI WATU WENGI HUYAPA NAFASI KUBWA MAHUSIANO YA AWALI JAPO YALIWAUMIZA KULIKO WALIYOPO?

UTAMUZAIDIAPP
Kila mtu anapenda kupendwa na kuthaminiwa na hiyo ndo FALSAFA YA MAPENZI. Huwezi kusema upo kwenye MAHUSIANO AMA NDOA na mtu ambaye hakupendi wala kukuthamini, Ili itimie maana ya MAPENZI ni pale mtu anapotengeneza DHAMANA YA UPENDO.
Wahenga walisema;
"AWALI NI AWALI" ndo maana mtu anapohisi MAHUSIANO AU NDOA yake haimpi AMANI kwa hakika MOYO HUUGUA na hapo njia za maridhiano kuwa wazi kwa yule ajuaye kukosea na kujisahihisha, Makosa ni sehemu ya u-bin adam na ndo maana HAKUNA MKAMILIFU.
Ubaya wa uvumilivu ni pale kila unapojaribu kumuweka sawa mwenza wako ili muendane lakini inakuwa kama HAIWEZEKANI.
Kwenye UPENDO WA DHATI uongo hujitenga, Na ndo maana THAMANI YA UHUSIANO AMA NDOA YA AWALI hujulikana pale mtu anapo kuwa amebaini kwamba ALIKOTOKA KULIKUWA NA UPENDO WA DHATI na hapo alipo DRAMA NI NYINGI KULIKO UKWELI😭😭😭
Yapo MAHUSIANO na NDOA nyingi tu zinavunjika kwa KUDHANIA lakini Mtu anapokuwa amekuacha ama umemuacha Kuna wakati atajua kwamba wewe ndiye ULIYEMPENDA kuliko alivyofikiria hata akaamua kukuondoka.
Na mara nyingi WAWILI WAKITENGANA NA KILA MTU KUWA NA MTU MWINGINE haiwezekani kurudisha ule UPENDO ambao wanaamini walikuwa nao awali, Kwa sababu UPENDO WA DHATI hauchangamani na USALITI Kwani kama ULIMPENDA kwa hakika usingeanzisha UHUSIANO mwingine UNGESUBIRIπŸ’ƒπŸ’ƒ
Akiishakuwa alikuwa ama anae mtu Mwingine na mkapanga kurudiana niamini MTALINDWA NA MAZOEA wala sio UPENDO 
Mwenye UPENDO WA DHATI hawezi kubeba watu wawili kwa wakati mmoja, Ukiona hivyo JIONGEZE MKO KWENYE MAZOEA wala sio kwa UPENDO.
Share:

Haya Ni Mambo Yanayokupa Udhaifu Wewe Mwanaume Hadi Kushindwa Kumrid-hisha Mwanamke Wako Kitandani.

UTAMUZAIDIAPP
Ni kitu kinachofahamika kutokana na utafiti kuwa wanawake wengi hawaridhishwi kihisia kwasababu utendaji wa wanaume wengi kitandani umepungua.
Haijalishi unampa nini mkeo au mpenzi wako, kama huwezi kumridhisha, ataendelea kutokuwa na furaha, mlalamikaji na wakati mwingine kama akijaribiwa nje, huenda akajaribu bahati yake kwingine.
Tena kama mpenzi wake kabla ya kuolewa alikuwa akimtosheleza, usishangae akamtafuta kokote aliko kukumbushia (hata kama hana lolote).
Wakati mwingine wanawake hufeki maneno matamu ya pongezi ili tu kukupa moyo kuwa umefanya kazi nzuri. Cha ajabu hii imewafanya wanaume wengi kuboresha game yao na kujiamini.
Kipi kinachowapa udhaifu wanaume ?
1. Kejeli kutoka kwa wanawake wao
Wanawake wengine hulalamika kiasi cha kuwaambia wapenzi wao bila kuficha kuwa hawana lolote kitandani. Katika hali hii, wanaume hujisikia aibu kiasi cha kupoteza kujiamini kwao. Hii inaweza kuwafanya wengine kuanza hata kuchelewa kurudi nyumbani kuepuka fedheha.
2. Uoga wa kumaliza haraka
Kufika kileleni haraka hutokea pale mwanaume anapoutua mzigo mapema wakati wa kufanya mapenzi kabla ya kumridhisha mwenzake. Wanaume wengine hupania na kuwa na wasiwasi. Hii inaweza kupelekea kumaliza haraka hara kabla mwanamke hajaridhika.
3. Upungufu wa nguvu za kiume
Utafiti unaonesha kuwa takriban wanaume milioni 30 duniani huathirika kila mwaka na tatizo hili. Hii ni hali ambayo uume husinyaa wakati wa tendo la ndoa na kupunguza ugumu unaohitajika. Tatizo hili hukosesha raha na husababisha msongo wa mawazo.
Share:

UNAACHWA KWASABABU UNALALAMIKA SANA KUHUSU KUUMIZWA;


Umeshaumizwa mara ya kwanza, ya pili na ya tatu, unabeba maumivu yako kila sehemu. Wanawake wengi walioumizwa wanadhani kua wanaume wana huruma, wanadhani wakimuambia mwanaume “Sitaki tena mtu wa kiniumiza kama X wangu” ndiyo mwanaume hatamuumiza. Hiki ni kitu cha kwanza ambacho ukimuambia mwanaume kuhusu wewe basi kuna uwezekano mkubwa akakuacha kwasababu kuu mbili.
Kwanza kabisa nikuwa, kama wewe si msichana wake wa kwanza basi kuna sehemu nayeye ameshaumiza, kwamba ili awe na wewe alishakua na mwanamke mwingine, akamuacha na kumuumiza kama ulivyoumizwa. Mara nyingi unakuta tabia nyingi za X wako naye anazo, kwakulalamika humfanyi akuonee huruma bali akuone kuwa wewe ni mwanamke wa kulalamika lalamika sana hivyo kuboreka hata kuwa nawe kwani anaona pia hujiamini.
Pili nikama unamuambia kua wewe ni mtu wa kukataliwa, kwamba wewe ni takataka ya mtu na hakuna mtu anayependa takataka. Tuchukulie mfano chakula kingeweza kuongea, wewe ufike hotelini halafu kabla ya kuanza kula chakula kinakuambia “Nawewe usije kunionja na kunaicha kama flani, yeye alinishikashika akala na kunichafua kisha akaniacha!” Hivi ndiyo ungekula kile chakula au ungeachana nacho. Mimi ningeacha na kama ningekua na njaa sana ningekula kidogo kisha kuacha.
Wanawake wanaolalamika lalamika sana kuhusu kuachwa kwanza wanaboa, pili wanajishushia hadhi, wanajionyesha kama ni watu wa kuachwa achwa. Anajua umeachwa lakini huna haja ya kulia, huna haja ya kujionyesha mnyonge, acha kuonyesha kua kuna mwanaume alishakukataa ndiyo ukamkubali yeye. Hembu muambie kua umeachana na X wako, mlishindwana tabia basi, muambie alikua anakusumbua ukaona kila mtu aishi kivyake basi.
Asikuone makombo, uonyeshe kuwa angalau unajiamini, kwamba wewe si chakula kilichokataliwa bali ulimkataa mlaji. Wanaume wanapenda wanwake wanaojiamini, wanaojua thamani zao na ambao hawalalamiki lalamiki. Kama ni mtu wa kulalamika lalamika, kila saa unakua na huzuni basi jua unawakimbiza wanaume, unawafanya wakuchezee wakuache kwani hakuna mwanaume anayetaka wanawake wenye huzuni, kila mtu anataka furaha, anataka kuwa na mtua mbaye hajakataliwa.
Image may contain: 1 person, standing
Share:

NAMNA YA KUMFANYA MWANAMKE WAKO KUWA NA FURAHA!


UTAMUZAIDIAPP
Najua si kila mwanaume ambaye anajua namna ya kuongea au vitu vya kumfanyia mwanamke mpaka kumfanya kuwa na furaha, kumfanya kuchanganyikiwa juu yako. Wanaume wengi wanaamini katika kutoa pesa, kweli wanawake wanapenda pesa, lakini kama unataka mwanamke wako, kukuona mtamu, kuchanganyikiwa juu yako na kila wakati kutaka kuwa karibu na wewe basi mbinu hizi zitaweza kukusaidia sana.

(1) Msifie kitu cha tofauti kabisa na mazoea; Amezoea kuambiwa kuwa amependea, ni mzuri, anajua kufanya kitu flani, hivyo ni vitu ambavyo hata Mama yake, marafiki zake na ndugu zake humuambia, wewe kuwa tofauti, msifie kitu ambcho kinamfanya ajue kuwa unamjua zaidi, kitu ambacho kinamfanya ajione wa maana zaidi.

Mfano msifie namna ambavyo unapenda ufanyaji wake wa kazi, jinsi alivyo na mzuka wa mapendeleo au naman anavyokupa changamoto ya kufanikiwa zaidi. unaweza sema, “Napenda jinsi unavyojituma… unajau nikiwa na wewe akili yangu inachangamka sana… utafika mbali Baby unajituma sana…” angalie uwezo wake na msifie, mfanya ajihisi bora na sifia kitofauti kabisa.

(2) Ulizia kuhusu Familia yake na maisha yake; Wakatio mwingine wanaume tunakua wabianafsi sana, kutaka kuzungumziwa kuhusu sisi tu, unataka kuzungumzia kuhusu Mama yako anasema nini, Mama yako anataka nini na vitu kama hivyo. Humuulizii kuhusu Mama yake, kwao vipi alikuambia kuwa Mama yake anaumwa huulizii. Akija kwako unajalia kufanyie yale unayotaka wewe, huulizii yeye anataka nini?

Kila wakati unazungumzia familia yako na ndoto zako tu. Ni kama yeye hana maisha unataka aishi maisha yako tu, hiyo si sawa, ukitaka kumchanganya mwanamke, ulizia kuhusu familia yake, wanaendeleaje, wakoje, hata kama husiadii, msikilize kuhusu maisha yake, muonyeshe kuwa, kile anachokiwaza kina maana na yeye ana maana kwako.

(3) Msikilize na onyesha kuwa unasikiliza; Ndiyo wanawake wanapenda kusikilizwa hata kwenye vitu ambavyo sisi wanaume tunaona kama ni vya kiuuzi. Kama mwanaume wake ni lazima wewe ndiyo uwe msikilizaji wake wakwanza, uwe kam shoga yake, kwamba akiwa na kitu, kakwazwa, kakwama au hata ana kaumbea kapya huko basi awaze kukuambia wewe kwanza kuliko mtu mwingine.

Msikilize zaidi anapokua na shida, mawazo, hata kama humsaidii lakini ile kuonyesha kujali, ukamuacha akatoa dukuduku lake inampa ahueni na inaongeza mapenzi sana. Sikiliza kakuambia nini, shauri, na baadaye ulizia kafikia wapi, tafuta namna ya kumsaidia, usimkatishe katishe, onyesha kujali na si kupuuzia kila anapoongea, hata kama ni ujinga, acha kukosoa kwa dharau mrekebishe kwa upendo. “Baby mbona ni hivi na vile… Baby hapo naona kama umekosea, ilikua hivi na vile….”

(4) Muambie na muonyeshe hisia zako; Wanaume mara nyingi si watu wa kuongea kuhusu hisia zetu, tunaona kama ni udhaifu, unakuta mwanaume anampenda mwanamke, kachanganyikiwa kabisa juu yake lakini ni ngumu kumuambia kuwa nakupenda, nimeumia, nimekereka au nafurahia nikiwa na wewe. Tunapenda kimya kimya na wakati mwingine unakuta mtu anampenda mwanamke lakini hamuambii.

Kuna wanawake wengi wanchepuka, wanachana na na watu wao kwakua tu wanaamini hawapendwi kumbe wanapendwa ila hawajaambiwa. Mwanaume, muambie mwanamke wako unavyohisi, muambie unavyompendda, unavyomfurahia, akikufanyia kitu kizuri shukuru na onyesha hisia zako, kwamba kama unampenda mfanyie vitu vya upendo, mtoe out, mpe zawada, mfanye ajisikie anapendwa ili asiutafute upendo huko nnje.

(5) Fanya kile anachotaka kukifanya; Kimakuzi wanawake wamelelewa kumridhisha mwanaume, kwamba kufanya kila kitu ambacho wanaamini wanaume wao wanataka kufanya. Kwa mfano mdogo, hata kwenye chakula, unakuta mwanamke anapika chakula kile ambacho mume wake anapenda hata kama yeye hakipendi au hakifurahii. Anaweza kucheka kumbe amecheka ili ufurahi, kama mwanaume unatakiwa kumjua mwenza wako na mara moja moja kufanya kile kitu anchotaka yeye hata kama wewe hukitaki bila kulalamika.

Unajua anapenda kuangalia Tamthilia, wewe inakuboa, basi angalia na acha kuangalia mpira siku hiyo afurahi. Anapenda kufuarilia kitu flani, kifuatilie ili muwe na stori za kuongea, unajua anapenda chakula flani, basi muambie apike na kula ili nayyee afuirahi. Wanawake wanajitoa sana mpaka wanajisahau, kwa maana hiyo kama usipokua makini anaweza asiwe na furaha kwa kukufurahisha wewe kila siku.

(6) Kua makini na vitu vidogo vidogo na saidia kazi za nyumbani bila kuambiwa; Wanawake wanafurahia zaidi kufanyiwa vitu vidogo vidogo kuliko vikubwa, vizawadi, mnunulie vizawadi, karanga, pipi, chocolate na vitu vingine vingine, kumbuka siku yake ya kuzaliwa, siku ambayo mlikutana, mpe zawadi, sifia kucha zake, sifia nywele zake na vitu vingine ambaviyo kikawaida havionekani onekani.

Msaidie vikazi vizofo bila kuambiwa, amemaliza kupika osha vyomvbo, toa nguo zake siku moja kafue, siku moja amka na safisha nyumba, hata kama hutafanya vizuri kama yeye, hata kama atalalamika kuwa hukufanya vizuri ila jua kafurahia, anafurajia kuwa na mtu ambaye anamfanyia hivyo.

(7) Muonyeshe mahaba Mbele za watu bila kulazimishiwa; Mnatembea mbele za watu mshike mkono, tafuta sababu za kumgusa mwili wake mbele za watu, mshuke kiono, unaweza kumtania hata kwa kumtekenyetyekenya na mazingira yakiruhusu mbusu mbele za watu. Kwa kifupi onyesha mbele za watu kuwa unampenda, yaani humuonei aibu, unamfurahia na hujali kama watu wanawaona au la, wanawake hawependi kupendwa tu bali wanapenda kuonyeshwa kuwa wanapendwa na watu wajue kuwa wanapendwa.

(8) Mnong’oneze mambo ya kimahaba; Mko mbele za wtau, mmekaa, mlikua mnafanya kitu cha maana au mnasikiliza kitu cha maana, akiwa hana hili wala lile, mvute, inama sikioni kisha mnong’oneze kitu cha kipuuzi. “Baby unajua nasikiliza hapa lakini najaribu kukumbuka hivi asubuhi ulivaa chupi ya rangi gani… HIvi unajua hapa wakizima taa tunaweza tukamza… kwanini tusiingie kwenye gari tukapiga hata kimoja tu hivi, nina hamu na wewe….” Muangalie usoni kisha mcheke kwa pamoja.

(9) Msaidie kukua, mshirikishe katika mambo yako; Acha kjuwa mtu wa kumkosoa, kila akikosea kidogo unamdhihaki na kumfanya kuonekana kuwa hana akili. Mara nyingi wanaume tunajiona tuna akili sana kuliko wanawake, hatuheshimu mawazo yao, hatutaki kuwasikiliza na kila kitu tunachoongea sisi ndiyo tunataka kiwe. Kuna wakati kweli tunakua sawa lakini si kila wakati. Kama unataka mwanamke wako kuwa na furaha basi hakikisha kuwa unamsikiliza, msaidie kukua na mshirikishe katika mambo yako.

Mwanamke si adui na mwanamke wako si mshindani wako, mnajenga nyumba moija, hakuan haja ya kushindana na kama unataka kuonekana kuwa wewe ndiyo mwenye akili zaidi basi ni ngumu kufanikiwa. Kuwa na furaha hakikisha mwanamke wako ana furaha, msiadie kukua, kibiashara au kiajiri kama umemzidi, msikilize na shirikiana naye, ni rahisi kufanikiwa mkifanya pamoja kuliko ukifanya peke yako.

Share:

ULISHAWAHI KUJIULIZA KWANINI MWANAMKE ANALIA KIRAHISI ANAPOUMIZWA!

UTAMU KITANDANI APP

KakaπŸ‘‡πŸ‘‡
Ushawahi kujiuliza kwanini mwanamke analia kirahisi anapoumizwa? Ni kwa sababu mwanamke hapendi matatizo. Pale alipo mwanamke, hua panakua na mpangilio mzuri ikiwemo na amani.

Muulize mtu yoyoye aliyefanikiwa, aidha atakwambia ni kwa sababu ya mama yake kumpa support au mke wake.

Mwanamke aliumbwa kuleta amani na mpangilio katika maisha. Hivyo kama sehemu hakuna amani na mpangilio mzuri mwanamke hawi comfortable hata kidogo.

Anaweza akaingia kwenye nyumba ambayo ni chafu na haina mpangilio akaisafisha na kuiweka katika hali nzuri. Anaweza akamuona mwanaume wake mchafu, asie na mpangilio wowote wa maisha akajitahidi kuyaweka maisha yake kwenye hali nzuri ingawa atakutana na vikwazo kutoka kwa mwanaume huyo ikiwemo kutosikilizwa ushauri wake.

Mwanamke anafanya kazi yake vizuri mahali ambapo kuna mazingira ya amani na mpangilio mzuri.

Kutokana na hayo, hata kwenye MAHUSIANO, mwanamke anahitaji amani na hujitahidi kwa kila hali kuwe na amani. Ukiwa kama mwanaume, ni jukumu lako kutengeneza mazingira ya amani kwa ajili ya mwanamke wako. Hautakuja kuona uwezo wa mwanamke wako katika mazingira ambayo hayana amani.

Anapokuwa hana amani na wewe, mwanamke wako hujisikia hawezi kitu, ile nguvu yake ya ndani haiwezi kuonekana, ule uwezo wa usaidizi humpotea kabisa.

Kama ukitaka kumfaidi mwanamke wako, mpe amani, mjali na mpe ile attention anayoihitaji. Kuwa karibu yake pale anapokuhitaji msikilize huku ukimuangalia machoni mwake,mwambie ndio maana nakupenda

Mwanamke anapokua na amani, uhakika na kujiamini kwamba yupo sehemu sahihi, ile nguvu na uwezo wake huja automatically. Atakuombea mara kwa mara wakati ukihangaika kujitafutia kipato. Usitegemee mwanamke akuombee ufanikiwe wakati mafanikio yako ni mwiba kwake.

Unapomjali vizuri mwanamke wako alie bora, atakupa support ambayo hauwezi kuitegemea. Mungu husikia kilio cha wanawake. Mungu hujibu maombi ya wanawake.
Ndio maana kuna wanaume wengi leo toka wameaanza kutafuta maisha hawajafanikiwa ila siku tu wakiamua kuchagua mwanamke na kuoa wanatajirika
@maisha_halisitz
Zaidi njoo lipia ushauri ni elfu 10 tu
Share:

Kama wewe unajijua ni mzuri na mrembo soma hii


πŸ“πŸ“Ukijaliwa kuwa Msichana mzuri na mrembo, usidhani utatetemesha kila Mwanaume, kuna wanaume na akili zao kichwani,urembo wako hauwasumbui kama bichwa lako ni kanyaboya, uzuri wako hausaidii kitu, na utashangaa no one is paying attention, watu utakaowapata ni walewale kanyaboya wenzako, na hawana future utabaki unaliwa bure kila siku unatoa macho.
πŸ“πŸ“Ukipata mwanaume anakupenda unaanza drama zako na kupiga watu danadana, madai yako hujali na unadhani hata akiondoka utapata mwingine kisa wewe ni mzuri, la hasha Mwanaume akijitoa mhanga kukupenda kwa uzuri wako mheshimu, maana viumbe wa kike wakiwa wazuri ni shida na matatizo hakuna mtu anataka, sasa ukimwongezea na drama pamoja na yeye kujigeuza mpalestina kwako utajikuta umeolewa na kioo cha chumbani kwako, maana hicho ndo kinakudanganya sana kwamba we ni mrembo.
πŸ“πŸ“Watch out drama zina mwisho, leo unacheza na mioyo ya watu unajiona we kifaa usidhani wanaume hawaumii, wanaumia sema hawasemi tu, machozi yao kama ya samaki.
Najua kuna wengine walipojihisi si warembo wamepita hivi πŸ˜€πŸ˜€
Share:

KUNYONY-ANA SEHEMU ZA SIRI KWA WANA NDOA NI MACHUKIZO KWA MUNGU!


Kanisa la Mungu leo limevurugwa sana,kwani watu wanaishi kama wapagani. Mafundisho ya ndoa makanisani leo hufundishwa na makungwi ambao ni vibaraka wa shetani.
Wanandoa wamefundishwa kudumisha ndoa kwa kunyo-nyana sehemu za siri, na inaonekana ni jambo jema la kisasa.Wachungaji wa mishahara nao kimya juu ya upuuzi huu!
Wengine wanalambana mpaka sehemu za haja kubwa, eti ili kuridhishana kimapenzi. Badala ya kuongozwa na Neno la Mungu, watu wanatumia mikanda ya video za ngono kufundisha watu machukizo.
Kauli za vibamia na mabwawa, leo ni kawaida hata kwa wakristo.Shetani yuko madhabahuni kuangamiza wengi, kwa kuachilia roho za tamaa ya ngono na kuziharibu ndoa nyingi.
Sasa ni kawaida kuwasikia mpaka wakristo wakidai mapenzi ni uchafu. Sod-oma na Gom-ora walifanya vitendo vya namna hii, pamoja na ula-witi, ndipo watu waliingiwa na mapepo ya uzinzi, kisha Mungu aliwaadhibu.
Mdomo umeumbwa kwa matumizi ya asili ya kula,kunywa,na kuongea. Unapofanya ngono kwa kutumia mdomo na ulimi wako sio mapenzi ya Mungu.Soma {Yuda 1:7-8 Kama vile Sodoma na Gomora na miji iliyokuwa kandokando,walifuata uasherati kwa jinsi moja na hawa, wakaenda kufuata mambo ya mwili yasiyo ya asili, imewekwa kuwa dalili, wakiadhibiwa ktk moto wa milele, kadhalika na kuota kwao, huutia mwili uchafu,hukataa kutawaliwa na kuyatukana matukufu}
Kama wewe ni mtu wa Mungu uchafu ni mwiko kwenye ndoa yako. Ni lazima wanandoa mjue kuidhibiti miili yenu, dhidi ya tamaa mbaya; kwani ninyi ni hekalu la Roho Mtakatifu.
Mnaweza kuridhishana ktk tendo la ndoa ktk hali ya asili bila uchafu,na mkaifurahia ndoa yenu.
Soma { Rum 12:1-2 Basi, Ndugu zangu, nawasihi kwa huruma zake Mungu, itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai,takatifu,ya kumpendeza Mungu, ndiyo ibada yenu yenye maana. Wala msiifuatishe namna ya dunia hii,bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza,na ukamilifu}.
Share:

Jinsi ya kuishi na mwanaume ambaye hana pesa katika mahusiano ya kimapenzi πŸ’“πŸ’“πŸ’“πŸ’“πŸ’“πŸ’“πŸ’“


Ni siku nyingine tunakutana kwenye ulimwengu wetu wa mahaba. Uwanja wetu maridhawa wa kupeana darasa kuhusu maisha na uhusiano. Kama mada inavyojieleza hapo juu, ulimwengu wa sasa wanawake wengi wanaamini katika kuishi na wanaume wenye pesa.
Mwanaume ambaye atakuwa na ukwasi wa kutosha huyo ndiye anayefaa kuwa naye kwenye uhusiano au hata ndoa. Anaamini kwamba pesa ndiyo kila kitu. Pesa ndiyo itakayompa mahitaji yake ya kupendeza na kila kitu. Mwanaume bila pesa kwake ni sawa na debe tupu. Upepo wa imani hiyo upo sana mjini.
Baadhi ya wanawake wanaolewa na watu wenye pesa, lakini matokeo yake wanageuka kuwa watumishi wa nyumbani wa hao wanaume wao. Wanageuka kuwa wafanyakazi wa ndani na si wake tena. Wanakosa sauti ya kusema, lakini mioyoni wanabeba mambo mazito yanayofukuta kama moto.
Hawazifurahii ndoa zao, wanaambulia masimango, manyanyaso ya kila aina maishani mwao. Hii ni hatari sana! Unaweza kuishi na mwanaume asiyekuwa na pesa, lakini
kipaumbele kikubwa kiwe ni mambo niliyoyataja hapo juu. Ishi na mtu ambaye hata kama hana pesa, lakini ana utu, ana ubinadamu na hofu ya Mungu.
Kikubwa zaidi angalia mwanaume ambaye anajielewa. Anayejitambua, anayeamini katika kutafuta maisha. Kwamba hata kama hana pesa, lakini akili yake iamini katika kutafuta. Kama hiyo akili, mwanamke ni jukumu lako kumkumbusha.
Mweleze mwanaume wako juu ya umuhimu wa kutafuta. Wekeni mipango ya pamoja, mnapowaza pamoja juu ya changamoto zenu hakuna kitakachowashinda.
Baadhi ya wanaume huwa ni wazito kuwashirikisha wanawake wao mambo ya kimaendeleo. Mshtue mwanaume wako kuhusu masuala ya kimaendeleo.
Mjengee utaratibu wa kuzungumza kuhusu fursa mbalimbali zenye mtaji mdogo na hata mkubwa. Zile zenye mitaji mikubwa mnaweza kuzifikia pale mtakapofanikisha zile za mitaji midogo.
Mnachotakiwa ni kufurahia maisha yenu. Kuyakubali na kupanga mikakati ya pamoja ya kuelekea kwenye maisha mnayoyatamani
Share:

JIFUNZE KUMUACHA AENDE


• Kamwe usihisi kama ulimwengu ndio unakaribia mwisho pale akupendae anapokuacha.
MUACHE AENDE !
• Kujaribu kumlazimisha mtu akupende ni sawa na kujaribu kumlazimisha Nguruwe kutambua usafi na uzuri. Usimlazimishe akupende, mwache mwenyewe akupende, kama hakupendi...
MWACHE AENDE !
• Wewe ni wa thamani mno kulilia penzi. Mtu ambae anakupenda kweli atakuheshimu na hataku 'treat' kama uchafu. Kama atakuchukulia wewe kama uchafu...
MUACHE AENDE !
• Usipoteze muda wako wa thamani kujaribu kumshawishi au kuomba mapenzi. Mtu mwingine pembeni anakupenda wewe kwa dhati, ila wewe uko busy mno kumuogesha nguruwe! Kwanini?
MUACHE AENDE !
• Usikasirike pale mtu wako anapompenda mwingine tofauti na wewe. Siku zote hua ni vigumu kumshawishi NYANI kwamba Asali ni tamu kuliko ndizi...
MUACHE AENDE !
• Mwanamke/mwanaume yeyote anaekuchukulia kirahisi siku zote atachukulia faida kwako, atakugeuza atakavyo kama chapati akijua hufurukuti, yeye sio Mungu wa kukufanya atakavyo...
MUACHE AENDE !
• Kuna watu hawatakupenda hata kama utajitoa kiasi gani kwao. Ni sawa tu. Kukukataa kwao haimaanishi kwamba una kitu kibaya, bali ni maana kwamba hawako kwa ajili yako. Usilazimishe duara kuwa pembe tatu...
MUACHE AENDE !
CHA KUJIFUNZA
• Hauwezi badilisha maoni mabaya ya watu juu yako, ila unaweza ukazuia maoni yao mabaya yasikubadilishe wewe kama wewe!
• Acha kichwa chako kiongoze moyo wako kukuondoa katika mahusiano sumu. Lengo la mahusiano sio kuleta mafadhaiko ila ni kuongeza furaha juu ya ile uliyokuwa nayo mwanzoni ulipokuwa haupo ktk mahusiano.
NI NGUMU SANA ILA KWA MUSTAKABALI WA FURAHA YAKO YA SASA NA YA BAADAE ME NAKWAMBIA MUACHE AENDE MPE NA NAULI KABISA!
Kama ipo ipo tu...!
Tupo pamoja??
Share:

KAKA NA DADA YANGU ,UNATAKA KUMJUA ANAEKUPENDA KWELI MWENYE NIA YA NDOA NZURI ?? SOMA HAPA ...


πŸ‘‰Hujitoa Nafsi Yake,Mwili Wake Kwaajili Yako Sio kukupa Pesa Na Vitu Tu Hapana Hivi N Hatua Ya pili Ya Upendo Wa Dhati..
🍞Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.”
— Yohana 3:16 ,Mungu Alitupenda MPAKA Akaitoa Nafsi Yake Kwaajili Yetu Huu Ndio Upendo...
πŸ‘‰Hutoa Muda Wake hatakama Anakua amebanwaKukutoa Kwenye Shida Flani Au Kukufanya Usahau Mambo Flani Yanayokuumiza.
🍞huku mkimtwika yeye fadhaa zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana kwa mambo yenu.”
— 1 Petro 5:7 ,Upendo Humfanya MTU Ashughulike Na Mambo Ya Anaempenda Maana Huumia Kama Amiavyo Anaempenda.
πŸ‘‰Ukikosea Huwa Hakuhesabii Makosa Yako Wala Misaada Anayo Kupa Huwa Huiona Nikama Alijifanyia Mwenyewe Huku Sitiri Na Lolote Linalokuja Kwako..
🍞“Heri waliosamehewa makosa yao, Na waliositiriwa dhambi zao.”
— Warumi 4:7
πŸ‘‰Ukimpa Utaratibu Sahihi Wa Kukuoa au Kumuoa Hatakama Mgumu Huufanya Bila Shaka Yaan Hata Ukimwambia Hatutafanya Chochote Hadi Ndoa atafata TUU..
🍞“Yakobo akatumika miaka saba kwa kumpata Raheli. Ikawa machoni pake kama siku chache tu kwa vile alivyompenda.”
— Mwanzo 29:20 ,,Yakobo Alitumika Miaka Saba Ilikua N Mali Ya Kumpata Mke Lakini Hakuona Tabu Na akaona Midogo Na hakuwaza KUA Je Nikifa??πŸ˜‚πŸ˜‚Nitakosa Jiko Hapana Hakuwqza Hivyo ....
N.B UPENDO WA DHATI NI HUU...1 Wakorintho 13 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁴ Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni;
⁵ haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya;
⁶ haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli;
⁷ huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote.
⁸ Upendo haupungui neno wakati wo wote; bali ukiwapo unabii utabatilika; zikiwapo lugha, zitakoma; yakiwapo maarifa, yatabatilika...
πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†UKIONA UKO KWENYE MAHUSIANO NA MTU YUKO KINYUME NA HAYA YAAN SIO MVUMILIVU ANATAKA MUANZE KUGUSANA GUSANA HOVYO PIA HAKUAMINI VIZURI NA HANATUMAINI NA UPENDO WAKO NAKADHALIKA AISEE EM MUULIZE MUNGU TENA VIZURI MAANA MKIRUKA UCHUMBA NDOA ITAWASUMBUA....
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU