-->
Showing posts with label KUTONGOZA. Show all posts
Showing posts with label KUTONGOZA. Show all posts

πŸ’•HIVI UMESHAWAHI KUJIULIZA SWALI HILIπŸ’ž❓❓_.

Mambo unayopaswa kuyaepuka katika mahusiano yako ya kimapenzi - KABATA
*Ni kwa nini ladha na mvuto wa mwanamke wa kiafrika umepungua sana na sio kama zamani?* πŸ’«πŸ’«πŸ’« Unalala na mwanamke kitanda kimoja lakini moyo wako wala haushituki.Ni kama vile umelala na msela wako ghetto* Wanawake wa sasa hivi wamepoteza mvuto kabisa ni afadhali hata ya picha za kuchora.
πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«
Sababu ni nyingi sana lakini sababu mojawapo ni kuwa wanawake wa sasa walio wengi wanaendekeza usasa na kusahau asili ya urembo wa mwanamke wa kiafrika.Zamani ilikua ni mwiko kwa mwanamke wa kiafrika kukosa angalau mikanda miwili au mitatu ya shanga kiunoni.
πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«
Lakini wanawake wa sasa hivi hawajui lolote kuhusiana utamaduni na umuhimu wa kua na shanga kiunoni na kujua faida zake.Na wengi wao wanaona ni jambo lililopitwa na wakati na ni ushamba.Na ndio maana wengi wao wamepoteza mvuto na wamekua kama visanamu vya kuchonga ambavyo havina stimu yeyote.Wamebaki na kung’ang’ana na mikufu na cheni ambao ni utamaduni wa kimagharibi na kusahau utamaduni wao wa asili ambao ni shanga(chachandu). πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«
Na dhambi hii wanayoitenda itaendelea kuwatafuna na matokeo yake ndio chanzo cha kuharibika kwa mahusiano mengi na kuvunjika kwa ndoa nyingi sana.Lakini kwa sababu ndio wanawake wetu na ndio mtihani tuliopewa na Mungu hakuna jinsi.Ngoja niwamegee kidogo unyago huu pengine wanaweza kubadilika. πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«
Kiuno cha mwanamke kikivalishwa shanga kinapendeza na kuongeza mvuto sio tu kwa wanaume ila hata kwa wanawake pia.Asilimia kubwa ya wanaume wakiona kiuno kimevalishwa shanga haijalishi kama ni barabarani au ndani ya daladala lazima *hogo* zao zipate shida ya kujizuia kusimama bila kupenda (kama wewe ni mwanaume rijali lakini)
πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«
Shanga zinaongeza hisia na mashamsham kwa mwanaume.Ni raha ilioje kupeana raha na utamu na mwanamke alievaa shanga.Mwanamke alievaa shanga anavutia zaidi kupapasa shanga zake wakati wa tendo la ndoa.Utafiti unaonesha kua mwanamke anaweza kufika kileleni kwa kumchezea tu shanga zake za kiunoni πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«
Shanga zinaongeza msisimko katika suala zima la mapenzi hususan ukipata mwanaume anaejua kuzitumia.Lakini wanaume wa sasa wengi wao hawana utaalamu wowote wa kucheza na shanga kwa sababu wengi wa wapenzi/wake zao hawavai.
πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«
Rangi za shanga pia zina maana yake.Kwa mfano mwanamke akivaa shanga za rangi nyekundu maana yake ni kua mazingira hayaruhusu.Rangi nyeupe maana yake mazingira ni mazuri unaweza kuendelea na mambo mengine.Na rangi nyeusi maana yake mazingira ni mazuri ila uwanja haujafyekwa.Kwahiyo shanga peke yake ilikua lugha tosha ya kuwasiliana kati ya mwanamke na mwanaume.
πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«πŸ’«
Mwanamke wa kiafrika anapendeza na kua na mvuto zaidi akijipamba na mapambo ya asili ya kiafrika. Kwahiyo wito wangu kwenu naomba tubadilike na tusidharau asili ya urembo wa mwanamke wa kiafrika ili tuweze kuimarisha mahusiano yetu.Kwa sababu mkataa asili ni mtumwa.
*_MSIOPENDA SHANGA POLENIπŸ‘ŒπŸ½πŸ‘ŒπŸ½πŸ‘ŒπŸ½_* *........* *_πŸ–€πŸ’œ @alh@πŸ–€πŸ’œ_*
Share:

*MWANAMKE JUA MAMBO YANAYO HAMASISHA MAH-ABA KWA MUMEO*

My Blog – Page 6 – My WordPress Blog

(1) *KITANDA* _Mwanamke jitahidi kitanda chako kiwe vizuri NA cha kuvutui kipambe vizuri,kwa mashuka mazuri yenye nakshi,na shuka inyooke vizuri,sio kitanda kinakuwa kama vile stoo ya nguo chafu._ 

(2) *MANUKATO* _Katika chumba chako jitahidi sana,kiwe kinanuka kila Mara mumeo anapo rudi akiingiq chumbani akutane na harufu nzuri, .sio chumba chanuka jasho._ 

(3) *USAFI* _Hili ni jambo LA muhimu sana maana utakuta chumbani kuna vyupi vya wiki nzima, hazijafuliwa mataulo chini,masidiria,mumeo akikuta chumba kiko hivo ujue kuna shangingi atamchukua._

 (4) *Usafi wa mwili* _PIa Usafi wa mwili mwanaume anavutiwa na utakavokuwa umejipamba na atavutiwa kimapenzi na wewe._ 

(5) *Mapokezi mazuri* _Wanaume wanapendana sana kupokelewa vizuri,kwa mahaba tele mapokezi utakayo mpa mtu jitahidi yawe ya mahaba,legeza macho, mwili,yaani ili mradi tu umchanganye mwanaume Siyo umeshupaa kma mwanajeshi kwenye paredi._ 

(6) *CHAKULA* _Jitahidi mwanamke kujua kupika sio tu kupika michakula kama ya jela michukuchuku mibaya,mamchuzi chururu kama watoto wanapika matipwi._

 (7) *MITEGO* _Hii ni njia ambayo watakiwa uwe mjanja ukimuona mumeo kakaa sebleni basi vaa hata shumizi jipitishe huku ukijitingisha Mara kwa Mara,ujue lazima atakutizama tu tena kwa mwendo nzuri wa maringo._ 

(8) *MAPENZI* _Mapenzi si lazima kitandani tu popote ni muhimu maana wengine mpaka mume amwambie cheza basi,kiuno kimekaza ukilala chamende ndo basi hata huyo mende anatikisa miguu loooh._

 (9) *UKARIMU NA KUJIPENDEKEZA* _Hata kama kwenu ulizoea kuwa na domo kama bakuli la togwa jitahidi kuchunga mdomo ukiona huwezi mumeo ngoja aondoke ufunge mlango ubwatuke peke yako kaa chizi,akirudi funga upuuzi wako zungumza maneno mazuri mnyenyekee._ 

(10) *MAKELELE* _WANAUME wengi huwa hawapendi makelele wanapenda wakirudi nyumbani kuwe kumetulia isiwe kma choo cha umma,WANAUME wanapenda ukimya mahala panapokuwa kimya huzidisha mapenzi.

_ (11) *ZAWADI* _Jitahidi kumnunulia vizawadi pindi unapokwenda sokoni au dukani mwanaume hujisikia faraja pale ukimpatia zawadi._

 (12) *MAVAZI* _Pendelea kumchagulia mavazi TIZAMA rangi ya mwili wake kisha mchagulie nguo inayoendana na rangi yake ya mwili siyo mume mweusi waende kumvisha nguo nyekundu kma anaenda kupunga madogoli mamaa._ *MTUNZE MUMEO MAMA USIPOMTUNZA WAPO WATAKAO KUTUNZIA*
Share:

UNAFIKIRI NI KWANINI WANAWAKE WALIOKO KWENYE NDOAπŸ‘¨‍❤‍πŸ‘¨ NDO WALIO KWENYE USHAWISHI MKUBWA WA KURUBUNIKA KUSALITI PENZI KULIKO AMBAO WAKO KWENYE MAHUSIANO YA KAWAIDA?

UKITOLEWA BIKIRA NA MTU AMBAYE SIO MUMEO MUNGU AKUSAIDIE SANA ...
Kwanza kabisa tambuwa jambo moja na likupe MAONO jinsi ya kuishi na Mwanamke "KWA MAUMBILE YA MWANAMKE ANAISHI KWA UTEGEMEZI KI FIKRA HIVYO MWANAMKE ILI APATE HAKIKA KWAMBA YUKO NA MWANAUME SAHIHI NI PALE ANAPOKUWA AMEKUTANA NA MWANAUME WA KUITULIZA AKILI YAKE" Mwanamke anatulia ki akili kwa mantiki moja tu AWE NA HAKIKA ANAPENDWA hapo ni ugali kupita kooni ukiwa na bamia "MLENDA" Yaani full mtelezo, Ni kweli hatufananani tabia kutokana na makuzi na malezi ila naomba nikwambie kwa hakika AKILI YA MWANAMKE YEYOTE KWENYE UHITAJI WA UPENDO KWA MWANAUME WAKE NI MOJA YAANI HITAJI LAO MOJA... Niamini Wanawake ni watu wema na wenye upendo mwingi tena wamejawa HURUMA kwa maana moja tu UMPENDE! Kinyume chake nyambulisha mwenyewe na majibu ujipe mwenyewe, Pamoja na majibu mabaya ya kinyume cha KUTOMPENDA MWANAMKE lakini Bob hata sisi wanaume tusipopendwa na tumetoboka kwa manzi tunasemagaje kweliπŸ•Ί
Hakuna kitu humuuma Mwanamke kama akijikuta amemvulia NGUO mwanaume ambaye hampendi, Hata mimi ningeumia aisee, Yaani nikwambie kweli UKIONA MWANAMKE AMEKUBARI UONE MWILI WAKE UJUE UMEGUSA MOYO WAKE sina maana ya makunguruπŸ¦…
Namaanisha kwamba MWANAMKE ANAYEJITAMBUWAπŸ’ƒ
Sasa nirejee kwenye swali langu la msingi "KWANINI MWANAMKE ALIYE KWENYE NDOA NI RAHISI KUSHAWISHIKA?"
Jibu ni dogo sana na wala halihitaji akili ya CHUO hata ya CHEKECHEA ILI MRADI UVAE JOHOπŸŽ“
Yaani kwa ufupi ni kwamba "MWANAMKE AWAYE YEYOTE HITAJI LAKE KUBWA KWA MAHUSIANO/NDOA AMA NISEME KWENYE MAPENZI ANAHITAJI MWANAUME ATAKAYEJUWA WAJIBU WAKE KWAKE"
ndo maana walioko kwenye ndoa wanakuwa washakosa PACKAGE YA UPENDO na kuanza kuhaha kutaka kujinasua, Hivi unaijuwa raha ya coke cola? Coke raha yake fungua kizibo ukiwa umesogeza pua kale ka gesi kake ndo UTAMU WAKE🀣
Mpatie Mwanamke haki zake za Msingi uone kama utasalitiwa, Ila ndugu yangu ukijifanya mjuaji sana Basi TEGEMEA KULA MAKOMBO japo wenyewe mnasemaga ASALI HAINA NINI? Una akili kweli mtu atie kidole chake kwenye ASALI yako halafu ajilambe nawe uje kulamba ASALI hiyo? Acha kuishi na Mwanamke kwa NAHAU NA MISEMO YA WAHENGA nenda kwenye Point MWANAMKE ANAHITAJI KUPENDWA ndo nature yake.
Share:

WENGI WAMEKIWA WAKIWABEZA WADADA AU WASICHANA WALIOZALIA NYUMBANI AU SINGLE MOTHERS WAKIWAONA HAWAFAI KUWA MA'BossLady WAO ANI WANAWAONA HAWAFAI KUOLEWA....

.
Lakini wacha leo nikupe faida za kumuoa mwanamke mwenye mtoto au single mothers......
Kumuowa mwanamke aliyetelekezwa na mtoto hakutatufanya tuonekane ni 'wapumbavu' maana 'wapumbavu' ni wale waliokimbia na kutelekeza damu na kukwepa majukumu yao wakati mbegu walipanda wao wenyewe.
.
Ni sawa na mtu uende shamban upande mahindi then uache kuyahudumia then mwingne aje kuhudumia hayo mahindi na kuyapa matunzo mazuri... Unadhani nan ataonekana mjinga hapo aliyepanda mahindi kisha kutelekeza shamba bila matunzo ya mahindi yenyewe au aliyekuja na kuona thaman ya mahindi hayo kisha kuyahudumia na kuyatunzq vizuriiπŸ€— by the way jibu unalo mwenyewe sihiti kukupa mimi!!
.
Mchukie tu lakini nasema watawaolewa, watapendwa, watafanywa wawe ma-boss lady kwa kuwa mliowakimbia hamkuthamini michango na maarifa walizojaaliwa kuwa nazo.
.
Watoto watamuita Daddy huku wewe wakikuita Uncle na hakika watafurahia na kuhuzunika kwamba, kwa nini lakini walichelewa kumfahamu.
.
Kimsingi, watakula "bata kama kawaida kwa sababu anajua nini maana ya kuzaa na kulea watoto".
.
Hakuna mwanamke mwenye akili kubwa ya maisha kama aliyesusiwa mtoto na kumlea katika mazingira magumu,huyo ni mashine nyingine kabisa.
.
Ukimdaka na kujua namna ya kumtumia vizuri huwezi jutia maamuzi yako,kwanza hana muda wa kucheza na pesa sijui kwenda kujirusha nk.
Yeye anawaza maendeleo basiiiii.
.
Sema nini kale Kabatani ka Volume kameng'oka. Nimeshindwa kupunguza volume...
.
Am sorry kama nimewakwaza πŸ€” #MkakaFulani
Share:

WANAUME KAMATA HIIπŸ‘‡ ITAKUPONYA:

Ese Filimi z'ubusambanyi zishobora kugira uruhare mu gutandukanya ...

🌺 Siku Zote Ukiona WANAUME Wawili Wanagombana Tena Ugomvi Wao Ukawa Unahusisha Hasa MAPENZI...Eti Anamuhisi Mwenzake Anatoka Na Demu/Msichana Wake...Jua Wazi Kabisa Mmoja Wapo Kati ya Hao Wanaume Hana AKILI...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

🌺 Mwanaume Wa Kweli (Gentleman) Unagombanaje Na mwanaume Mwenzako Kwa ajili ya Kiumbe Ambacho Hata Hujakiumba WeweπŸ˜€πŸ˜€

UKITAKA KUONA UGOMVI WA SISI WANAUME WA KWELI (GENTLEMEN) ONYESHA WAPI UMEONA HELA/PESAπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Dozi ya Kulalia HiiπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Kama Sauti Haitoshi Bonyeza Bonyeza Mwenyewe UP BUTTON Hapo Juu😁😁

🚢🚢🚢🚢🚢🚢🚢🚢🚢🚢🚢🚢🚢🚢
Share:

UNAJUA Kwanini Mapenzi ya Mbali Hayadumu? Hizi Hapa Sababu 5..!!!

Related image

Wengi wetu hujiuliza kwanini  maisha ya mapenzi ya mbali huwa  hayafiki mbali na kubaki wa kijiuliza tatizo ni nini? Wakati mwingine watu huanza kuulizanaa mchawi ni nani katika mapenzi yao. Laa hasha!! Huenda mchawi wa mapenzi yako ni wewe mwenyewe lakini hujui kwa sababu hakuna mtu ambaye ameshawahi kukueleza jambo hili na lile ndio tatizo

Hata hivyo hakuna kumbukumbu ambazo zinaonesha ni kwa asilimia ngapi ambazo wapenzi wanapenda kuwa mbali mbali japo mazingira mara nyingi ndo huwa chanzo

Katika tafiti mbali mbali zinaonesha kwamba umbali humaliza kabisa mapenzi ambayo  wapenzi wengi wenye malengo ya kufika mbali huwakuta.

Lakini zipo sababu mbalimbali ambazo ukizichanganua utajua kwa nini mapenzi mengi ya mbali huw hayadumu

Wivu.

Wivu huwa ni chachu ya kupima upendo lakini ukizidi pia huwa tatizo. Wivu wa mapenzi  ukizidi husababisha kutokuaminiana  kwani kila mmoja kwa wakati wake tofauti huhisi mwenzake anamsaliti, mara nyingi hali kama hii humfanya mmoja wapo kati ya wapenzi hao wawili kuona kama mwenzake ameshamchoka na anamtafutia sababu. Ni vyema kuwa na wivu kiasi kwa mpenzi wako

Mawasiliano

Mawasiliano huimarisha mapenzi na hufanya wahusika kujihisi wapo pamoja. Inapotokea kuwa na ufinyu wa mawasiliano ndipo hali ya mapenzi ya upande mmoja hupungua na kuhisi kwamba tayari mwanamke/mwanaume tayari ameshapata mwingine wakumfanya asifanye mawasiliano ya mara kwa mara.

Ugomvi

Magomvi ya mara kwa mara hufanya mmoja wenu ahisi kuchoka na mahusiano. Inapotokea sababu za  ugomvi ambao unahisi unaweza kuwa chanzo cha kuvunja mahusiano yenu ni afadhali ukazizuia na kutafuta siku nyingine ya kutatua tatizo hilo.

Kutojali

Hii mara nyingi imetajwa sana kuwa ni chanzo cha mapenzi ya mbali kuvunjika kwa sababu  tofauti mfano mpenzi wako alipokuwa karibu ulikuwa ukimpatia huduma mbalimbali kama zawadi nk, lakini anapokuwa mbali unajisahau hali hii humfanya mpenzi wako ajiulize kulikoni?

Usikivu

Nayo ni sababu ambayo ukiwauliza wengi wao ambao walikuwa na uhisiano wa mbali ukavunjika lazima atakulalamikia kwamba alikuwa hanisikilizi nachomwambia. Mfano alitaka kutoka kwenda ‘OUT’ na wenzake nikamyima lakini hajanisikiza hivyo hanifai.

Hizi huenda zikawa ni baadhi ya sababu ambazo wapenzi wengi ambao mapenzi yao hayajafanikiwa kama jinsi walivyo hitaji wamekumbana nazo.

Ili kuepuka changamoto za kutengana  na mtu ambaye unamuhitaji katika maisha yako ni vyema ukaanza kujifunza pole pole kutoka kwake ili siku ukiwa mbali naye ujue kipi mwenzako anapenda na kipi hakipendi mnapokuwa mbali.


Usisahau kushare post hii.πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU