-->

WENGI WAMEKIWA WAKIWABEZA WADADA AU WASICHANA WALIOZALIA NYUMBANI AU SINGLE MOTHERS WAKIWAONA HAWAFAI KUWA MA'BossLady WAO ANI WANAWAONA HAWAFAI KUOLEWA....

.
Lakini wacha leo nikupe faida za kumuoa mwanamke mwenye mtoto au single mothers......
Kumuowa mwanamke aliyetelekezwa na mtoto hakutatufanya tuonekane ni 'wapumbavu' maana 'wapumbavu' ni wale waliokimbia na kutelekeza damu na kukwepa majukumu yao wakati mbegu walipanda wao wenyewe.
.
Ni sawa na mtu uende shamban upande mahindi then uache kuyahudumia then mwingne aje kuhudumia hayo mahindi na kuyapa matunzo mazuri... Unadhani nan ataonekana mjinga hapo aliyepanda mahindi kisha kutelekeza shamba bila matunzo ya mahindi yenyewe au aliyekuja na kuona thaman ya mahindi hayo kisha kuyahudumia na kuyatunzq vizurii🤗 by the way jibu unalo mwenyewe sihiti kukupa mimi!!
.
Mchukie tu lakini nasema watawaolewa, watapendwa, watafanywa wawe ma-boss lady kwa kuwa mliowakimbia hamkuthamini michango na maarifa walizojaaliwa kuwa nazo.
.
Watoto watamuita Daddy huku wewe wakikuita Uncle na hakika watafurahia na kuhuzunika kwamba, kwa nini lakini walichelewa kumfahamu.
.
Kimsingi, watakula "bata kama kawaida kwa sababu anajua nini maana ya kuzaa na kulea watoto".
.
Hakuna mwanamke mwenye akili kubwa ya maisha kama aliyesusiwa mtoto na kumlea katika mazingira magumu,huyo ni mashine nyingine kabisa.
.
Ukimdaka na kujua namna ya kumtumia vizuri huwezi jutia maamuzi yako,kwanza hana muda wa kucheza na pesa sijui kwenda kujirusha nk.
Yeye anawaza maendeleo basiiiii.
.
Sema nini kale Kabatani ka Volume kameng'oka. Nimeshindwa kupunguza volume...
.
Am sorry kama nimewakwaza ðŸ¤” #MkakaFulani
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU