-->

Wakati mwingine mwanamke ulie nae unamuona wa kawaida kwa sababu tu hutaki KUMKUBALI jinsi alivyo,

Wakati mwingine mwanamke ulie nae unamuona wa kawaida kwa sababu tu hutaki KUMKUBALI jinsi alivyo,kumbuka hakuna mwanamke mbaya duniani kila mwanamke ni mzuri na mrembo tofauti yake ni jinsi mapokeo yako yalivyo kwake
Uaminifu ukipungua hata hisia njema kwa unae mpenda huondoka,wakati mwingine upweke wa fikra hutawala kwa kufikiria ni kwanini mwenzangu ameanza ama ameondoa ama amepoteza uaminifu! Mahusiano hususani ndoa ni shamba ambalo ili upate mavuno mazuri basi huna budi kuwa na uangalizi wa hali ya juu sana. #Mbundason
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU