-->

*MWANAUME TAMBUA.*

_*Mwanaume halisi hawezi kumuumiza mwanamke, Mwanaume anayejitambua yupo makini kuhakikisha anamfanya mwanamke awe na furaha kila wakati.*_
_*Mwanamke alitoka kwenye ubavu wa mwanaume uliopinda, hivyo ni kiumbe dhaifu anatakiwa kulelewa kihekma na kutumia akili nyingi.*_
_*Mwanamke anapaswa kulindwa na mikono ya mumewe na sio vinginevyo, Mwanaume ana jukumu la kuulinda na kuutetea moyo wa mwanamke.*_
_*Mwanaume anao wajibu wa kumtunza, kumheshimu, kumthamini, kumpenda na kumdekeza mwanamke wakati wote.*_
_*Mwanamke sio ngoma kila saa kudundwa, mwanamke ni pambo la nyumba anahitaji kutunzwa, ili nyumba ipambike.*_
_*Mwanamke ni kiburudisho cha macho kipambe na ukitunze ili kikuburudishe, sio mwanamke akivua nguo zake, mwili uonekane umejaa makovu kwa kupigwa na mwanaume.*_
_*Mwanamke ni sawa na mtoto mdogo, jinsi umleavyo mtoto ndio mwanamke nae anatakiwa kulelewa hivyo.*_
_*Sifa ya mwanaume sio kumpiga mwanamke bali ni kumtunza kumlinda kumheshimu, na kuitumia mashine yake vyema kitandani kumfanya afurahie uwepo wako.*_
_*Kama kitandani humfanyi mwanamke akafurahi, ni sawa na kupiga taarabu kwenye disco la masela.*_
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU