-->

UNAWEZA kuwa umekata tamaa ya KUOA AU KUOLEWA Lakini soma Hapa.


Sanchiworld - Photos | Facebook
UNAWEZA kuwa umekata tamaa ya KUOA AU KUOLEWA baada ya kupitia njia ya MAPENZI iliyo jaa
dharau
manyanyaso
usaliti
udanganyifu
vyenye kuleta MAUMIVU NA HASIRA
Lakini haya yote huja na kupita..akikuona huna maana songa mbele pasipo yeye...ngumu kusahau maumivu ila rahisi kupuuzia....
wapo walio poteza mda mwingi ktk NDOA zilizo poteza mwelekeo wengine ktk mapenz yaliyo kosa malengo..simanz na makwazo viliwachosha waka amua kujikomboa.
Kuvunja uhusiano baada ya mda waka anzisha mwingine huku wakiwa hawana uhakika kama utadumu ila hatimaye hujikuta kila kitu kina enda sawa mpaka wanafurahia NDOA wengine wanataraji kuoana...kumbe unaweza teseka na MPENZI kwa mda mrefu zaidi ya miaka 2 na kila wiki au mwez muna onana ila muka achana hueanda bila hata UCHUMBA
Lakin utakutana na mtu ghafla muta ingia ktk MAPENZI ndani ya mda mfupi aka kufanya utambue tofaut yake na walio pita..una kuta ndan ya mda mfupi inna tangazwa ndoa...MAAMUZI SAHIHI NDIYO SIRAHA YA.MAFANIKIO.WALA SIO MDA MULIO DUMU PAMOJA....USISEME NIME DUMU NAE SANA KO NTAISHI NAE MAANA NAE ANA WAZA KUKUACHA ..
WENYE NIA YA KUOA NA KUOLEWA BADO WAPO..Ndugu au wenzetu.ndoa zao kuwa na matatizo haimanishi nasi tuogope..nawe una fungu lako kwa MUNGU matatizo ya wengine yasitukatishe tamaa maana tupo tofauti....
HATA ULIYE MZALISHA NA KUMUACHA IPO SIKU.ATAPENDEZESHWA MPAKA UTA TAKA UMRUDIE..ILA ATAKUWA TAYAR MKE WA MTU maana unacho kitupa wewe wenzako wanakiokota na kukitunza
Ukimpata anae jiheshimu na mwenye malengo yake tulia nae..achana na wapenda ngono au pesa..kama anakufaa basi ambatana nae bila kujali ELIMU au UMBALI hata kipato chako..kikubwa akupe FURAHA
MPAKA KUITWA MKE AU MUME SIO JAMBO RAHISI NA PIA KUDUMU NA NDOA DUA ZINA HITAJIKA
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU