-->

Hitaji la asili la kila mwanaume ni kuwa na busara, hekima, utashi, akili na uelewa.

Haihitaji kuwa na shahada ya uzamili, au uzamivu ili kuwa na hivyo vitu. Ni uamuzi tu kutoka ndani ya kilindi cha moyo wako.
Ndoa na mahusiano mengi yanavunjika kwa vile wanawake wameolewa au wana date na wavulana na sio wanaume, na kuna tofauti kubwa kati ya 'mvulana' na 'mwanaume'.
Wewe kama mwanamke umeumizwa sana na mapenzi basi omba Mungu akupe mwanaume mwenye busara, utashi na hekima. Kilio na maumivu ya kihisia hayawezi kuwa sehemu ya maisha yako.
Na wewe kama mwanaume omba sana kwa Mungu akujalie hekima zaidi, utashi, akili na maarifa. Nina uhakika hata wanawake ambao wanajifanya ni matapeli wa mapenzi hawataweza kukukaribia.
Maana utakuwa sript writter na director mwenyewe na hivyo rahisi kimgundua kuwa huyo ni msanii na kumpeleka fasta akajiunge na Ray Kigosi akaonyeshe usanii wake huko.
Ungana nasi katika group letu la whatsApp "ITUNZE NDOA YAKO" ili upate njia bora za kutunza na kuimarisha Ndoa, Uchumba/Mahusizno yako kwa kunitumia ujumbe wako kwenye whatsApp inbox yangu kwa nambari 0717 442 212.
Au bonyeza link hapo chini ikupeleke moja kwa moja kwenye whatsApp inbox yangu
👇👇👇
Share
Like Page
Image may contain: 1 person, outdoor
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU