-->

NI RAHISI KUMUACHA MTU IKIWA MAKOSA YAKE YANAATHIRI FURAHA NA AMANI YAKO💯


Wengi tunajikuta njia panda kwa sababu ya kusikiliza watu katika MAHUSIANO/NDOA zetu, Kama Mtu ataamua kumuacha mwenza wake kwa kuangalia JAMII, NDUGU, WAZAZI niamini moyo hauna AKILI🧠 ila una UPENDO💘
Mara nyingi MAHUSIANO ama NDOA zinavunjika kwa kuifuata AKILI🧠 wakati huo unakuta MOYO 💕 ndo kwanza unakataa😂
Ukiachana na Mtu aliye Kwenye mamlaka ya MOYO wako niamini utamrudia tuuuu💯
Moyo hauna akili na wala hauna macho kuona hayo yanatafsiriwa na UBONGO🧠 zaidi unajitaabisha, Kuachana kupo ila jifunze pamoja nami:-
👉 MUACHE MTU PINDI MOYO UKIMCHOKA📍
Lakini ukilazimisha kwa akili, iwe yako ama ya watu wanaokuzunguka niamini mwisho ni wewe kuanza siri wasijue kama bado UNAMPENDA ili kuuponya moyo Wako utajirudisha mwenyewe😂
Jiachie kwa kuufuata MOYO wako, utaishi kwa AMANI zaidi kuliko kuwaogopa watu haijalishi heshima yako kwao ila MOYO WA UPENDO KWA HUYO WASOMPENDA NI WAKO hivyo usijaribishe HITAJI LA MOYO ukidhania ni rahisi UTAJUTAAAAA💯
Ruhusu kicheko, dharau, matukano hata fedheha ili tu HAJA YA MOYO WAKO ITIMIE.
Moyo sio kama Mtoto kwamba utaudanganya danganya
Ukipenda UMEMPENDA na ukichukia wala hutatumia nguvu ni kama kumsukuma mlevi.
KUMUACHA MTU UMPENDAYE NI UCHAWI🤔
#Elista_kasema_ila_sio_Sheria 🔨
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU