-->

MWANAUME HATA KA MESEJI KAMOJA KWA SIKU KANAKUSHINDA?


Mwanaume, mke wako sio Parachichi unaliacha nyumbani kisha ukirudi unaminyaminya tu kama limeiva! Mke wako ana hisia, hawa viumbe wanahitaji kujaliwa aisee.
Narudia hawa viumbe wanahitaji kujaliwa sana. Hembu hata kama uko vize vipi kwasiku tuma hata meseji moja tu kuwa umemmiss.
Aisee kuna wanawake wengi wanachepuka kwakua tu mume hapokei simu na kujibu meseji. Anakutana na fala fulani anamjulia anatuma meseji mpaka simu inachemka kila siku basi mke anachanganyikiwa.
Hebu kuwa rafiki wa mke wako, mwambie hata umemmissi, siku moja moja nunua hata kachupi kamtumba mletee.
Kuna kuchepuka kwasababu ya umalaya, hawa hawana shida, lakini hawa wanaochepuka kwasababu ya upweke. Basi akipata jamaa anajibu meseji zake anaweza kujenga hata nyumba.
Aisee wanawake ambao wanajenga nyumba na kuwapa mitaji waume za watu ni wengi, hawapewi chochote.
Hata mechi zanyewe hakuna kitu lakini wanawajengea hao wanaume nyumba kisa tu mchepuko unajali.
Unauliza umekula wakati chakula umenunua wewe. Unauliza umevaa nini wakati nguo umenunua wewe, unamtoa out kwa pesa yako wewe na mwisho anatapeliwa aisee wanaume tubadilike!
Tuache kuishi na wake zetu kwa mazoea,mke ni rafiki wa kwanza kuliko vyote.
Image may contain: 1 person, standing, text that says "Grant Elvis"
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU