-->

Mwanaume anaweza kukufanyia haya yote lakini anaweza kukuacha kwa Muda usiotarajia

Mwanaume anaweza kukuhonga miaka mitatu mfululizo..akila bata na ww na kukutatulia shida zako kwa wakati..akavumilia vibomu vyako vyote na kukupa kila unachotaka lakin akaja kukuacha dakika ambazo hukutarajia ...haya maneno nilikuwa nikimuambia dada mmoja alipokuja ofisini kwangu kuomba ushauri juu ya mpenzi aliyempa kila kitu kuanzia kumnunulia luku, vocha na vitu kibao vya ndani//lakin anashindwa kuelewa kilitokea nn mpk anakuja kukumbana na picha za harusi ya huyo mwanaume akifunga ndoa!!!....hapa nikaona ni share na nyie ushauri niliompa kundi kubwa la wanawake linaishi maisha haya!!!!...tambua kuwa wanaume wengi wana hofu ya kuoa mwanamke mwenye matumizi makubwa ya pesa...mwanamke anayependa starehe..mwanamke ambaye hana uwezo na ushauri mzuri wa kifedha...hakuna mwanaume anayeweza kumuoa mwanamke anayelialia shida kila siku..ukimuomba atakupa vzr tu!!lakini kadri siku zinavyokwenda ndivyo atavyozidi kukutoa kwenye mstari wa kukuoa..!!now days makalio makubwa na sura nzuri sio ishu tena ..mwanaume anaangalia hasira uliyonayo na akili unayompa ya hustling za maisha....ukiona bata zinazidi!!!anakuhonga sana!!hakuna future yoyote anayoipanga na wewe zaidi ya outing za weekend na sex!!na asipokuwa na hela hakutafuti kabisa !!!ujue tu uko bandarini unasubiri treni.nakumbusha tu..KIBONDEImage may contain: 2 people
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU