-->

MWANAMKE! Kadri unavyozidi kuishi n mumeo ndivyo unavyozidi kuwa wakawaida kwake!!

Mapenzi kitu cha ajabu sana wataalamu wa mambo wnasema hata ungeukuwa mzuri kama miss dunia, hata ungekuwa mzur wa pekee yako dunia nzima ila kadri unavyozidi kuishi n mumeo ndivyo unavyozidi kuwa wakawaida kwake!!yaani ule uzuri wako unaanza wa kawaida mbele yake..yaani lile umbo lako linaanza kuwa la kawaida mbele yake!yaani wakati kwa wanaume wengine unaonekana mpya huko nje una trend lakini kwa mumeo huo uzuri wako unaonekana normal tu!/na hili ni moja ya tatizo kubwa sana lilonalochangia tendo la ndoa kwenye ndoa nyingi kupumulia mashine kila kunapokucha!!, wakati mwili wako ww unawavutia wanaume nje bahati mbaya sana ni pale mumeo atapoanz kuuchukulia poa uzuri wako..wanawake wengi sana walio ndani ya ndoa wanaumizwa na ukosefu full package ya tendo la ndoaa..wengi hawafikishi tena kama zamani..wengi wanakiu isiyoisha..wengi wanachukizwa na safari ya dakika tatu isiyofikisha vilele vya kibo na mawenzi!!!kuna haja mwanaume kutambua nafasi ya full packge ya tendo la ndoa kwenye ndoa yako!!ukipata nafasi ya kuongea na wanawake kumi basi ni mmoja tu ambaye tendo la ndoa nwenye ndoa yake bado lipo vzr maajabu ni kuwa ukiangalia ndoa ndio kwanza haina hata miaka minne afu tendo la ndoa liko taaban..hebu vuta taswira ya miaka mitano mbelee...!!je huyu mwanamke ataweza kuvumiliaa!?hapa ndipo tunapomuhitaji sana MUNGU KWENYE HIZI NDOA....#kibonde
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU