-->

Je ulishawahi kupenda lakini ukajikuta unajuta kwa nini ulipenda? ...

Image may contain: 1 person, close-up, text that says "c3 PICTURES"

Kuna wakati mtu unaweza kujitoa kwa hali na mali kumpenda mpenzi lakini hata siku moja ujawahi kurudishiwa japo robo ya upendo wako kwake!! ... Usikate tamaa wala usijutie kwa kile ulichofanya kwa wakati huo ....
Image may contain: 1 person, text that says "C3 PICTURES"
Kumekuwa na dhana ya kundi la jinsia moja kulilaumu kundi lingine kuwa si waaminifu katika mapenzi .... Wanawake wanalilia na kusema wanaume wote sawa na wanajuta kuwapa nafasi. wakati kwa wanaume nao wanalia na maumivu yao...
Kuwa muaminifu ama kutokua uaminifu ni tabia tu ya mtu ivyo usihukumu kundi, kabila au jinsia fulani kwa kosa la mtu mmoja.
Tizama wapi ulipokosea, futa makosa yako, jifunze kuwa tofauti pia jichunguze na ww mwenyewe ... Kisha jaribu kwa mara nyingine
TUNAKOSEA ILI TUJIFUNZE NA SIYO TUKARIRI. ðŸ˜˜
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU