#KINA DADA NIONGEZE SAUTI WAU MTAJIREKEBISHA
Usibebe mimba ya mtu ajielewi leba sio mlimani cityππππ½ππ½ππ½
Umebeba mimba badae unasema huyu mwanaume kanitumia kanidanganya..sasa dada angu unabeba mimba ya mtu kasema tena kwa mdomo tu ntakuja kwenu nakupenda siwezi kukuacha yaani hata uakika wa maisha nae una unatoa zamana ya mwili kuingia leba nusu kufa kule kisa mwanaume mweu tu ambaye katumwa na shetani bomoa maisha yako```