-->

Ukiwa na kiu kubwa ya kuolewa ndivyo uwezo wako wa kufikiria mume sahihi unashuka,

 neno ntakuoa linaanza kuwa dhahabu kwako/utadanganywa sana na neno ntakuoa/jifunze kutopelekeshwa sana na hisia za ndoa na kutaka ndoa haraka/relax ndoa haitafutwi inakuja yenyewe/usiforce ndoa kwa mwanaume/ndoa tamu ni ile atayoanza mwanume yeye mwenyewe kuonesha dalili za kukuoa/usilazimishe mwanaume akutolee mahari kwenu/usiwe msumbufu wa kuforce uolewa atakuoa yeye mwenyewe atapoona unafaa kuwa mkewe/ukiwa na hisia kali sana za kutaka ndoa ndivyo uwezo wako wa kugundua tabia za mwanaume asiyefaa unapungua/unaanza kutaka mwanume ilimradi anavaa suruali tu ukifikia hatua hii ujue ushapoteza direction ya maisha.......usijikatie tamaa kisa hakuna mwanaume anayetaka future na ww/wala usijishushe thamani/wala usijione unakasoro/ siku zote kila kitu kina wakati wake/wanaoolewa wapo kwenye wakati wao/kuna muda wako upo..kuna maana kubwa sana MUNGU kukuacha single mpaka sasa kiwa na imani naye..yaishii maadili !!ni heri usubiri muda mrefu ukiwa single mwenye furaha kuliko kuikimbilia ndoa ili na ww uwaoneshe watu kuwa umeolewaa..../wakati wa MUNGU ni sahihi kuliko msukumo wa hisia zako
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU