-->

πŸ’•❣️JINSI YA KUMROGA MUME WAKO AKUPENDE DAIMA HATA UKIWA MBALI AKUKUMBUKE KILA MUDAπŸƒ.


πŸ’•❣️Chukua Dawa inaitwa UPENDO WA DHATI kwake.πŸ’“
πŸ’•❣️Changanya na Dawa inaitwa UNYENYEKEVU NA UPOLE juu yake.πŸ’“
πŸ’•❣️Changanya na Mizizi ya Mti unaitwa KUTOPANDISHA SAUTI ukiwa unazungumza nae Zungumza kwa Upole.πŸ’“
πŸ’•❣️Hakikisha Unapata na Unga wa Mti unaitwa_ KUMFARIJI NA KUMPA MOYO ANAPOKUWA NA MITIHANI na MISUKOSUKO kamwe Usipende kumpa Lawama.πŸ’“
πŸ’•❣️Usisahau kuchanganya na Dawa ya magome ya mti wa KUMPONGEZA ANAPOFANYA JAMBO ZURI.πŸ’“
πŸ’•❣️Chukua na Mizizi inaitwa KUMSHAURI MAMBO YA MAENDELEO YA KIMAISHAπŸ’—
πŸ’•❣️Changanya na Dawa inaitwa USAFI, MAPISHI MAZURI NA MAHABA MATAMU CHUMBANI.πŸ’‹
πŸ’•❣️Chukua na Dawa nyingine inaitwa KUWAPENDA NDUGU NA JAMAA ZAKE.πŸ’“
πŸ’•πŸ’•Chukua hizo Dawa zote zichanganya kwenye Glass ya Maji ya UKARIMU kisha Mpatie Mume wako Hakika atakupenda Daima.πŸ’“
πŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’ž
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU