-->

💝💝💝💝 ACHA KUMVUA NGUO MMEO KWA MASHOGA ZAKO 👌👌 👇👇👇👇👇



UTAMU KITANDANI APP
WANAWAKE wengi wa karne hii wamekuwa siyo kabisa Tabia zao chafu kama za bata.
Wengi wanapenda kutoa siri za ndan kwa mashoga zao,Utaona wakikaa mabarazani au kwenye vikao vyao vya kusema watu , wanaanza na kuwasengenya waume zao Mara Mimi mume wangu yupo na bamia Mara wangu yupo na kikaroti , wangu kubwa , me mume wangu ana hanifikishi kilele cha mlima Kilimanjaro Mara hivi na hivi tabia mbaya
💘💘💘💘💘💘
Yote hayo ya nn kuweeleza mashoga zako !
My sister unajua kuwaeleza mashoga siyo suluhisho ,suluhisho ni kukaa na mmeo mtafute suluhisho LA Tatizo
💘💘💘💘💘💘
WANAWAKE wema ni yule mwenye kutunza siri za nyumba yake kujua haki za mumeo
💘💘💘💘💘
Pia hata kama unakula ugali dagaa kila siku hiyo ni siri yenu ya ndani haina haja ya kuwa eleza majirani ata wazazi
💘💘💘💘
IPO siku Nusra ya Allah itakuja na mtakula kuku na kufurah muombe dua mumeo na siyo kutoa siri za mumeo
Hii sauti nifikishie wa wenye tabia mbaya hii 💘🎤🎤🎤
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU