-->

๐Ÿ’žDarasa la Ndoa) ๐Ÿ‘Œ ๐ŸŒบMAHABA NIPIGE SHOTI๐Ÿ’‹

Utamu Kitandani App

Hina na Piko ikiwa mwilini kwa mke ni pambo la mwanamke linamvutia na kumpendezesha. Yaan mume atavutiwa tu
๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ
mwanamke anapokuwa amepaka hina/piko mume unatakiwa kujua kua unakazi yaziada..."

kuongeza dozi kama ulikuwa unampa Kwa wiki mara 3 basi ongeza dozi kwahishima ya hina..."

hii itaonyesha
Jinsi gani umelisapoti jambo hili pia huzidisha mapenzi...!!

mke unapokua umepaka hina unatakiwa kutlizana nyumbani kwako na mumewako..."

sio kila siku kiguu na njia ili watu wakuone kama umepaka hina...."

mke tulizana kwako jiandae kumsubiri mumewako ufurahie ndoa yako...."

koga jifukize naujipambe kwajili yamumewako..."

jipambe simple sio upake mirangi mpaka utishe badala yakupendeza.."

nguo zakuvutia sio makanga yamafumbo mvuto utapunguza..."

kidani shingoni herini skioni bangili mkononi pete vidoleni nashanga kiunoni..."

kitandani pavutie chumbani panukie kwa asumini mawardi na vilua..."

kabla hajarudi anza kumchokoza mumeo kwa msg za mapenzi ili asichelewe..."

ukihisi hodi yake jiandae kumpokea kwa mabusu najicho la mahaba..."

muulize hali mpepole kwauchovu bila kuchelewa mpeleke bafuni..."

mahanjumati muandalie chakula umlishe huku kijidekesha kimahaba..."

mapenzi kuashiria ukotayari kwajili ya kustarehe..."

tendo la ndoa nistarehe kwamume namke hivyo kueni wabunifu mupate kufurahia tendo hilo..."

๐ŸŒบmke itunze ndoa yako ๐ŸŒบ
๐ŸŒบ mume ni zawadi๐ŸŒบ
๐ŸŒบ kutoka kwamola wako! ๐ŸŒบ
๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐Ÿ’žDarsa la Ndoa) ๐Ÿ‘Œ
๐ŸŒบMAHABA NIPIGE SHOTI๐Ÿ’‹

Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU