Ifahamike maandalio ya MAPENZI NI SHAUKU π―
Ili mapenzi yawe matamu ni mtu mwenyewe na shauku yake na hapo ndipo mwili utaamua namna ya kile kinahitajika ili kukosha NAFSIππ
Kwa maana hiyo PENZI LA KUNUNUA LINAKUWA TAMU KWA MHITAJI kwani anachokihitaji amekipata kwa wakati, Kuliko PENZI LA MOYO ambalo pengine kile unakitaka hutakipata kwa wakati π muda Mwingine unaweza kukipata ila kisiwe tayari kwa shauku yako.
Pamoja na yote hayo lakini uhakika wa PENZI ni kumpata mwenye UPENDO WA DHATI JUU YAKO π―
Penzi la kununua halina hakika kwani MWENYE NALO AWEZA KULIUZA KWA MWINGINE ππ