-->

AINA ZA WANAWAKE AMBAO HAUSTAHILI KUINGIA NAO KWENYE AGANO LA NDOA

UTAMUZAIDIAPP
Aina ya wanawake ambao haustahili kuingia nao kwenye agano la ndoa:-
1) Mwanamke ambaye hana wala hajawahi kuwaza kutumia nauli yake kumtembelea mwanaume anayedai anampenda sana.
2) Mwanamke ambaye hawezi kumnunulia mwanaume wake zawadi ya birthday au Valentine lakini anategemea wewe umzawadie dunia nzima aitawale ikibidi.
3) Mwanamke ambaye hawezi kukupigia simu kwa salio lake mwenyewe bila ya kukubeep au kuomba umuunganishe kifurushi ndio mpate kuchati.
4) Mwanamke ambaye anadhani ukifanya naye mapenzi basi anakuwa ametumika sana hivyo kuomba apewe chochote kama kifuta jasho bila kujali ni wote mlienjoy tendo.
5) Mwanamke asiyeambilika na kushaurika sababu anafikiri kivyovyote vile huwezi kufanya chochote dhidi yake sababu kwake umefika.
6) Mwanamke mjuaji,muongeaji na mwenye maneno mengi kama virusi vya corona hewani,achana nae huyo ndugu utakufa kwa presha siku si zako.
Amejaa uswahili kuliko uswahili wenyewe.

Nasema kimbiaaaaaaa wewe acha mambo ya kumkimbiza atakunyonya ulimi na kukausha mate ufe kibudu !!!
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU