-->

USIYALAZIMISHE MAPENZI ⛔️ YAWEZA KUGEUKA NA KUWA KIFUNGO 🔗 KWAKO💯


Mtu akishindwa kutimiza hitaji lako wakati WA PENDO LA AWALI kwamba anapashwa kuamua maamuzi MAGUMU ili kuenenda na wewe... Hataweza kuwa na MAAMUZI MAGUMU wakati ambao atakuwa amekuzoea.
Kawaida ya MAAMUZI MAGUMU ni wakati wa JOTO LA UHITAJI baada ya hapo ni mazoea na mwisho kabisa ni wewe kubakia kama mtu uliyezoeleka kwa vyovyote vile KUBAKIA ni lazima japo kwa upande wako ni HASARA maana hauna nafasi kwenye MOYO WAKE💯
Watu wengi wa sasa HAWATHAMINI HISIA ZA WENGINE bali wanaishi kwa kudanganya kutimiza haja zao, Wachache wenye UPENDO WA DHATI wamebakia kuyalaumu MAPENZI huku wakijifunza kuwa WAONGO na mwisho kabisa MAPENZI KUBAKIA KWA HAJA ZA MWILI na sio kama ilivyo kwa uhalisia kwamba;
• UTAMPENDA MWINGINE KAMA UNAVYOJIPENDA MWENYEWE.
Tamaa ya MAISHA NA MWILI zimebeba UPENDO WA NADHARIA hata wengi kuamini kupitia MATENDO FAKE na baada ya mhusika kutimiza haja yake HUACHA KILIO CHA MILELE 😭😭
Kama kweli ANAKUPENDA atatimiza matakwa yako maana UPENDO WA KWELI UNAAMBUKIZANA kwa wawili walioamua kunia mamoja, Kinyume cha hapo USIHADAIKE KWA MANENO MATUPU⛔️
#Elista_kasema_ila_sio _sheria 🔨
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU